Hao majambazi watakuwa balaa sweetlady wanakuvamia wanachukua kila kitu halafu hata kukuumiza hakuna halafu una harufu za pombe na perfume za kike
Nenda yaeda juu lol
Polisi wakamvua mpaka sarawili??Bora atafute pa kulala, arudi hata kesho yake kuliko kunijia na perfume za kike.Swala la Pombe ntalifumbia macho maana naelewa kwamba anapenda Ndyofu za baridi...
"Wengi huwa wanasingizia walikamatwa na polisi wakaswekwa ndani akirudi unakuwa mdogo hata kuuliza maswali mengi huwezi...."
Poa Filipo niambie uko vizuri J3 ya leo.
Makubwa.... Mbona jirani yangu Lily Flower unamuuliza mume wangu Filipo swali hilo? Babu DC njoo usikie.........
safari ya Tanga imekaribia
Wala sintaikosa hii safari labda safari inikose mimi...
Preta akiwa kaanza Maisha Huko Yaeda hapo pichani akiwa na wanawe akiwazoesha maisha ya Bush...
Nikiripoti kutoka Karatu....... mimi Ni Georgeeeeeeeeeee Maratooooooooooo waaaa Aiiiiiiiiiiiiiiiiii Tiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Viiiiiiiiiiiiiiiiiii
Niwekee picha nipaone!
Hahaha mke mwenza kuna ubaya gani akimjulia mumeo khali? Mbona Filipo kamjibu kwa upendo kabisa?Makubwa.... Mbona jirani yangu Lily Flower unamuuliza mume wangu Filipo swali hilo? Babu DC njoo usikie.........
aisee!
Nami sintakukosa. Labda safari itukose