Maisha ya Preta Yaeda Chini

Hahahaha! Ukivaa boxer nzuri pia wanapita nayo lol. Wife itabidi umwambie ulivamiwa na majambazi walobeba vitu vyenye ncha kali lol.

Hao majambazi watakuwa balaa sweetlady wanakuvamia wanachukua kila kitu halafu hata kukuumiza hakuna halafu una harufu za pombe na perfume za kike
 
Last edited by a moderator:
Hao majambazi watakuwa balaa sweetlady wanakuvamia wanachukua kila kitu halafu hata kukuumiza hakuna halafu una harufu za pombe na perfume za kike
Unajitetea kuwa ulivamiwa na majambazi ya kike lol. Na wewe utajipeleka nyumbani mzima mzima bila kujigongeza sehemu? Ila ni shughuli Mr Rocky usiombe yakukute lol
 
Last edited by a moderator:
Subiri nape akipita hapo kwenu umwagize, yeye ndie anajua pa kuzipata hizo nyama!

Nakusalimia Lily Flower, hivi Mungi bado hajarudi? Nilimkopesha nauli kwa makubaliano anilipe akirejea jijini!

Halafu umesahau kumwambia tulipokutania ukanikopesha.................... hela ulizonikopesha hazijaisha inabidi kesho nisafiri kwenda Ngorongoro, nikitoka Ngorongoro naelekea Karatu halafu Haydom......... Narudi tarehe 30 Nov.

Imekula kwako manake Lily Flower anajua sikopi hahaaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Unajitetea kuwa ulivamiwa na majambazi ya kike lol. Na wewe utajipeleka nyumbani mzima mzima bila kujigongeza sehemu? Ila ni shughuli Mr Rocky usiombe yakukute lol
sweetlady yaombee yatokee kwa jirani aise yasikukute maana hapo huna simu huna hata mawasiliano ya kuomba msaada utajilengesha wapi na hapo sasa unajikuta umezindukia hospital mkeo anakuja anakuuliza nguo ziko wapi unajiteteaje
 
Last edited by a moderator:
Kha ha ha ha ha ha ha haaaaaa!
sweetlady hivi ndiyo nimemwona siku ile akija kule kwako ndiyo alikuwa anakuja kukopa?
Nimemseach hewani na ameiambia yuko bado ameweka kambi huko Bura Mwatate na bila shaka next week atatua hapa town!

Mungi fanya chap urudi town!


Subiri nape akipita hapo kwenu umwagize, yeye ndie anajua pa kuzipata hizo nyama!

Nakusalimia Lily Flower, hivi Mungi bado hajarudi? Nilimkopesha nauli kwa makubaliano anilipe akirejea jijini!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hivi Mungi alipokutosa ndio umeachana kabisa na safari ya Tanga?

Mkuu we mwache sweetlady twende naye Tanga, tutamweka kwenye buti ya gari akome kuropoka kama vile kajirusha vocha ya elf 50! akileta ubisha tunam:lock1:
 
Last edited by a moderator:
Mungi habari yako aise
Umepona yale mafua uliambukizwa wiki iliyopita
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaa Mkuu imebaki kidogo kesho naenda kuwaambukiza Ngorongoro, halafu mpaka Haydom


bora uende huko huko aise maana hapa mjini hatutaki ututese na hayo mafua Mungi
 
Last edited by a moderator:
Miss you baby Mungi....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…