Hahahaha ndo ushaachwa Preta kama vipi jirudishe kwa yule mchumbako wa zamani Naatu Daudi lol.
Yaeda ni wapi vile?
...kwahiyo X mass ni Moshi tuHeeee! Umesikia huko ni Moshi? Moshi ndio kunaendwa X'mass bana!
Amerudi Hanang' kitambo!Hivi yule mchumba wake si alikuwa anaishi huko Nakuru karibu kabisa na pale kwao na mji wa Kericho. Ama wamerudi huku Hanang'
Napafahamu! Umesahau tulisoma wote Yaeda?Unapafahamu au unabisha tu!? Mwenzio nilikuwa pale shule ya msingi Yaeda Chini!
Unaonekana wewe na sweetlady ni jamii moja!
...hahahahaha..ila mie sio wa huko shem...Ndio maana yake, kama huamini muulize Filipo
king kong Ina maana jina tajwa ni ngeni kwako nini? Hapo ndipo wajomba wangu walipo Yaeda!
Hahahaha!Mi ntajuaje!?