Mungu atatulinda wakati wote wa safari... Hyo taarifa cjaipata
marejesho hebu fanya mpango wa kukutana na Nicas Mtei ili tutege mtego wa TMK ndo itakuwa adhabu yake
Hamna kwenda!
marejesho hebu fanya mpango wa kukutana na Nicas Mtei ili tutege mtego wa TMK ndo itakuwa adhabu yake
Mwaaaa ! Mwaaaa ! Mwaaaa! Tuko pamoja!kukomaa ndo mpango mzima
Hahahahaha! Waiting....Nakutumia kwa MPesa sasa hivi....hatuwezi kukaa bila nyama choma
Hehehehe! Hongera Nicas Mtei, Filipo asage chupa anywe!Tayari nimefanikiwaaaa. marejesho yu mikononi mwangu