Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,771
- 5,268
Onyesha ulivyokokotoa hiyo idadi ya Wamarekanin sababu hiyo idadi si sahihi. Halafu useme urahisi wa Wamarekani kuhamia Norway unakujaje? Mimi naingia bila visa ndiyo. Na Nimeishi Norway 18 years. How about that?Nimekupa source kwenye mabano, unajua kusoma? Wewe unafikiri nimezitoa wapi? Kichwani au makalioni?
Halafu kuhusu US citizen kuingia Norway, wewe unaweza kuingia Norway bila Visa?
Ndiyo maana nakuuliza, umesoma nini nimeweka kwenye brackets? Thats my source.Onyesha ulivyokokotoa hiyo idadi ya Wamarekanin sababu hiyo idadi si sahihi. Halafu useme urahisi wa Wamarekani kuhamia Norway unakujaje? Mimi naingia bila visa ndiyo. Na Nimeishi Norway 18 years. How about that?
Ukiiba unawezaa usifungwe mkuu wakakurudisha kwenu heheheheKweli kabisaa mkuu...ww nenda kaibe ufungwe ujionee...
Acha kuzuga watu wwMaisha yao ni magumu
all I need is right here in Africa I love u Africa
bora niendelee kukaa huku kijiji cha SANTILIA
napata chakula asili kuku wa kienyeji safi maziwa amaizing matunda hewa safi mapoli ya kuwinda na kutembea .....
watu weusi hatujui uzuri wa bara letu na hicho ndio kilema chetu
siku zote
Natamani mkemia mkuu akufuatilie ili akupime mkojo halafu uhamiaji wakuitishe vyeti vya kuanzia babu yako wa nne na makaburi yao ili kujiridhisha
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana nakuuliza, umesoma nini nimeweka kwenye brackets? Thats my source.
Haya, unaingia sasa hivi bila visa, what about the first time? Mmarekani haihitaji visa kukaa Norway miezi mitatu. Anahitaji passport yake tu, from there anaweza kuoa au kuolewa, kutafuta kazi etc... na finally kuhamia kabisa. Je, hiyo ni rahisi au siyo rahisi kulinganisha na mtanzania?
We vipi?
Kama kule maduka ya jeshi na magerezaaisee nimeshangaa jamaa hawezi kutumia bidhaa ambayo haina kodi kweli wenzetu wameendelea sana huku kwetu tungejaa kwenye free duty
Wewe cheka tuu lakini najua umekubaliana na mimi kimoyomoyo ni bora kuwa mfungwa kule lakini sio kuwa huru huku.
Ngoja me nikajiibie...Ukiiba unawezaa usifungwe mkuu wakakurudisha kwenu hehehehe
Fantasy?Kuna tofauti kubwa kati ya fantasy na reality or real life ukiwa mgeni nchi ya watu. Tourist visa ibadilishwe kuwa work permit before end of 90 days siyo jambo rahisi kama unavyofikiri: that much I know for a fact. Bora häta Watanzania maana kawaida wanapewa 12-months permit kwa hiyo wana muda wa kujipanga.
Fantasy?
Kwani mtu kuhamia nchi nyingine lazima uwe na work permit? Mmarekani anaweza kwenda Norway akiamua leo asubuhi na akiwa na fedha zake. Thats a fact!
That part by itself eases or gives him/her an advantage over Nationals who needs a Schengen/Norway visa to go to Norway.
Let everything else constant, kuingia kwao Norway bila kuomba visa eases their immigration to Norway.
But forget that, wewe umeanza kwa kunikashifu kuwa nimetoa data za uongo sasa sahivi unasemaje? Hujioni kuwa ni mkurukaji unaetaka kupinga vitu obvious?
Na mimi nimekaa States tangu nipo teenager, tena mitaani na ninawajua hawa watu hawapendi hizo nchi, hawapendi lifestyle ya hizo nchi. People here love guns, strip clubs, big trucks, weed, rock & hip hop concerts/festivals etc....
They love that kind of life! ingawa pia ni watu wa dini mno. Its hard kumuona mmarekani akitaka kuhamia Norway. Believe me on that.
santilya,JoJo,ilembo,shizuvya,iwindi,Izuo,iyunga mapinduzi,masoko,iwiji,maganjo njia pandaMaisha yao ni magumu
all I need is right here in Africa I love u Africa
bora niendelee kukaa huku kijiji cha SANTILIA
napata chakula asili kuku wa kienyeji safi maziwa amaizing matunda hewa safi mapoli ya kuwinda na kutembea .....
watu weusi hatujui uzuri wa bara letu na hicho ndio kilema chetu
siku zote
santilya,JoJo,ilembo,shizuvya,iwindi,Izuo,iyunga mapinduzi,masoko,iwiji,maganjo njia pandaMaisha yao ni magumu
all I need is right here in Africa I love u Africa
bora niendelee kukaa huku kijiji cha SANTILIA
napata chakula asili kuku wa kienyeji safi maziwa amaizing matunda hewa safi mapoli ya kuwinda na kutembea .....
watu weusi hatujui uzuri wa bara letu na hicho ndio kilema chetu
siku zote
santilya,JoJo,ilembo,shizuvya,iwindi,Izuo,iyunga mapinduzi,masoko,iwiji,maganjo njia pandaMaisha yao ni magumu
all I need is right here in Africa I love u Africa
bora niendelee kukaa huku kijiji cha SANTILIA
napata chakula asili kuku wa kienyeji safi maziwa amaizing matunda hewa safi mapoli ya kuwinda na kutembea .....
watu weusi hatujui uzuri wa bara letu na hicho ndio kilema chetu
siku zote
Kawaida ukaenda police ni kwamba anaewahi kutoa taarifa ndio mlalamikajii, sasa wao ndio watakuwahi
Kabla ya kuvitaka vyeti vyangu aniwekee vyake mezani
Daa!aise ngoja tuendelee kuisoma namba,
Data zako siyo sahihi. Kama ni sahihi ungeonyesha data results table, diagram or whatever. Kwanini umeshindwa kufanya hilo?
Wewe umeishi Norway au umekaa kwenye kiti hapo ki apartment kako Oklahoma au sijui Alabama unajifanya expert wa nchi ambayo umeiona kwenye ramani tu. Unajua cost of living ya Norway? Wamarekani wangapi wanaweza ku afford a one week holiday trip, achilia mbali 90 days? Upo too presumptive, understandably kwa vitu ambavyo huna experience navyo.
Ile inaitwa 90-days "tourist visa", siyo immigrant visa au greencard. Mtu huruhusiwi kufanya kazi yoyote kipindi hicho. Kazi inakuja kama utapendelea kuendelea kuishi kule baada ya 90 days. Sasa hapo hakuna urahisi. Umezoea Marekani watu wanaingia mitini au ku-overstay visas, na wanaishi miaka hata 30 bila tatizo.