Its à free state in denmark!watu wako huru hapo kupitiliza .....Magumashi yote ni huru kufanyika ila ukitoka njee kuna maskari wanawavizia wale wakatao haribu wawakamate.....kuna watu wamepinda balaa hapoHapana mkuu
Hivi unajua unaweza kufanya kosa norway lkn wakakupeleka uholanzi ukatumikia kifungo huko lkn Syo kwaoNi kweli kabisa magereza yao yako vizuri kama 4/5 star hotel.
Ila kama ujuavyo jela zote duniani zina nyapara/viranja wake na wafungwa wababe,hivyo wengi wao hupoteza marinda wakiwa jela,maana kule misosi yake ni ya mafuta mafuta,kwa hiyo huleta ashki/genye sana.!
Ila kama ni mtoaji wa mtandao pendwa jela za Norway ni sehemu salama kuishi kuliko nchi ya viwanda vya vyerehani!!
Hahahahaa so pwhiyo ni jela norwayView attachment 769724
Comment ina dalili za ukurupukaji,,Marekani haisubiri Norway hata siku moja. Wamarekani ukiwafanya waishi kama Norway watakuua kesho yake.
Nasema hivi nikiwa muumini mkubwa wa Socialism, But US citizens never aspired to live like Europeans, they hate it!
Na kiuhalisia hakuna asiyependa kuishi maisha ya amani na ustaarabuSina haja ya kubishana manake hamkawagi kutoa mifano ya akina Mayweather wakati mimi nazungumzia ustawi wa watu at large!
Mkuu Kama unaielewa Sana Norway umeoa nini huko, Mara Moja Moja ukumbuke wadogo zako kina kibena na mkude huko Kiziwa. (Mtani)Okay, yaishe. Nipo off leo nilikuwa natafuta ubishi.
Maisha yao ni magumuHizo Scandinavian countries ziko mbali sana mkuu.
.
.
.
Ninatamani ningekuwa nafanya kazi huko. Hakuna rushwa, wananchi wanashiriki kwenye maamuzi ya taasisi zote, vitu vinafanyika kwa uwazi, wanajivunia kupanua huduma za/kwa jamii (serikali haifanyi kama vile ni hisani kuwa na elimu bure kwa mfano).
Ila naamini siku moja Tanzania itafika hapa. Hata kama sitaiona mimi, mwanangu ataiishi. Ndiyo maana siondoki bongo.
Ww unatamani kuwa Mbwa Norway duuhMkuu achilia kuwa mfungwa pale Norway utatamani uwe mbwa hasa, manake mbwa kule akiumwa anapakiwa kwenye Ambulance yake. Huku kwetu labda upakiwe kwenye bajaji hata ukifika Muhimbili ushakufa dadeki.😡
Flow ya discussion yangu ni simple.
Uli-quote jibu langu kwa mmoja wa wachangiaji. Ulipojibu ukajaribu kunieleza mleta mada anaongelea nini. Nikakubaliana na wewe huku nikisisitiza kwanini nilijibu kama ulivyoni-quote.
Kuhusu ni Mmarekani gani nilimuuliza. Sasa mjomba nikitaja jina la Duwane Hickmon utabisha? I can just come up with any name.
Kuhusu statistics, angalia tu composition ya Us citizens (non-military) in Norway(2014) ilikuwa arround 8,600 ["Innvandrere og norskfødte med innvandrerforeldre". Statistics Norway (in Norwegian)].
Pamoja na kwamba US citizens wakitaka kuhamia Norway, they can easily do it. But they chose not to.
If that doesn't mean anything let me know nitakupa stats nyingine.
Hapo kwenye kushirikishwa kwa jamii kwenye mambo ya kijamii ni kweli kabisa mkuu na wananchi wanafurahia kushiriki pamoja na kulipa kadi.Hizo Scandinavian countries ziko mbali sana mkuu.
.
.
.
Ninatamani ningekuwa nafanya kazi huko. Hakuna rushwa, wananchi wanashiriki kwenye maamuzi ya taasisi zote, vitu vinafanyika kwa uwazi, wanajivunia kupanua huduma za/kwa jamii (serikali haifanyi kama vile ni hisani kuwa na elimu bure kwa mfano).
Ila naamini siku moja Tanzania itafika hapa. Hata kama sitaiona mimi, mwanangu ataiishi. Ndiyo maana siondoki bongo.
aisee nimeshangaa jamaa hawezi kutumia bidhaa ambayo haina kodi kweli wenzetu wameendelea sana huku kwetu tungejaa kwenye free dutyHapo kwenye kushirikishwa kwa jamii kwenye mambo ya kijamii ni kweli kabisa mkuu na wananchi wanafurahia kushiriki pamoja na kulipa kadi.
Nilienda Norway miaka ya 90 nikashukia mji ujulikanao kama Drammen, mweyeji wangu alinipokea kwa bashasha sana. Nilikaa kwake kwa muda niliopanga, ilipofika kuondoka akanipeleka kwenye maduka ambayo ni kwa ajili ya wageni ambao kodi haiwahusu "duty free" ili niweze kununua chochote kama zawadi kwa ndugu zangu bongo.
Basi, tulifika kwenye duka nikanunua mahitaji yangu. Tukiwa katika harakati za manunuzi, mwenyeji wangu akaona bidhaa iliyomvutia akasema, "Hii nimeipenda, tukitoka hapa nitaenda kuinunua duka lingine". Kwa kujishaua na kuonyesha upendo kwake nikamwambia Usijali, ngoja nitakunulia tu. Jamaa akaniambia hapana, hili ni duka kwa ajili yenu wageni sisi tunatakiwa tununue sehemu ambayo tutalipa kodi. Nikamkomalia kwamba nitanunua mimi yeye hatahusika baada ya yote nitamkabidhi bidhaa yake. Jamaa kusikia hivyo alihamaki kwa mshangao uliochangika na haira kwa mbali na kuniuliza,"Unamaana nitumie bidhaa ambayo sijailipia kodi!!?" Nilipoona taharuki ile ikabidi niwe mpole na kumwambia, "Nilikuwa ninakutania tu..kodi ni muhimu". Kusikia ilikuwa ni utani jamaa akashusha pumzi na kurudi katika hali ya kawaida.
Hawa jamaa ni noma kwenye kuipenda na kuitumikia nchi yao. Pia Utawala unawapenda na kuwatumikia raia wake.
Ushasema inashindana. Qatar kuna slavery, watu ishirini kwenye nyumba.Who want to live in Qatar?!
Tell me you're not serious!!
Ni expat wa aina gani ambae asingependa kuishi na kufanya kazi nchi ambayo hata kodi haina huku mishahara yake ikiwa inashindana na nchi za magharibi zenye mikodi kibao?!
Nimekupa source kwenye mabano, unajua kusoma? Wewe unafikiri nimezitoa wapi? Kichwani au makalioni?Uwongo mwingi. Hizo data za idadi ya Wamareani umezipata wapi? Siyo rahisi kwa Mmarekani kuhamia Norway sababu tu ni Mmarekani. Sheria za uhamiaji Norway hazîtoi upendeleo kwa wahamaji toka Marekani zaidi ya 3 months visa-free entry and stay.
Nipo jamaa mmoja hapa ananipa story za Norway ameniambia ukiwa mfungwa tu wa gerezani hautamani tamani kurudi bongo ukweli sijaamini hata kidogo mwenye kujua kuhusu hii kitu please.