Tatizo vijana tunaoa na kuolewa kabla hatujamaliza ujana hivyo unakuta mapatner hawa hukutana na mambo ambayo hawakutarajia nawaasa kuwa makini kwa hilo
Mfano unakuta unaoa kwa sabb la umri kwenda, ama imetokea sabb mimba ama shinikizo la wazazi jamaa na ndugu hapo lazima kuchokana mapema tu maana maamuzi yatayokuja ni kwa sabb ya hivyo vitu. Siku uje ukutane na ambae ndio chaguo lako lazima mifarakano ianze.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.