Maisha ya ndoa yamenishinda

Vijana hata maana ya ndoa hatujui hata kabla ya kusema imenishinda au nimeiweza, mtoa mada inaelekea kama angeoa na baada ya kuoa mtaji na faida kwenye biashara zake vikazidi, akajenga na kununua magari, angesema "ndoa" iko vyema hata kama ndani kila mtu angekua analala chumba chake, upendo, uaminifu wala utii hakuna....ndoa ni nini? Maisha ni nini? Mafanikio ni nini? Wahenga tusaidieni wanenu twapotea.
 
Mi nakuelewa.
Inaitwa Self pride.
Inaweza isilete maana kwa mtu mwingine, ila mi nimekuelewa.
Umeumizwa pride yako kiasi cha kujionea hufai, huwezi, hufanikiwi na kila kitu hapo katikati.

Huaminiwa kufumania ni kujua ukweli, ni kukomoa mwenzi.
Alooo, anayefumaniwa ataomba msamaha atalia na kugaragara ila hakuna mahali alilazimishwa kufanya ulichokuta anafanya.
Wewe mfunaniaji hukujiandaa kuona mwenzi wako akifanya anachofanya.
Hata kujipanga miezi, bado hakuna mtu anatuma mwenzi akaifanya kitu ili amfumanie.
So either way is fatal.
Mara nyingi fumanizi huwa rahisi kuisha kwa aliyefumaniwa kuliko aliyefumania.

Shida sio nyota ya mkeo.
Shida ni nini kipo ndani yako kumhusu.

Unaamini kwa kuwa ulimfumania, basi kuna mahali kama mwanaume umeshindwa.
Unaamini kuna mahali umeshindwa kutimiza uanaume wako.
Unaamini kuna mahali u you a lesser man.
So unajibebesha lawama za tukio.
As in ningekuwa hivi, asingekuwa hivi.
Ningefanya hivi asingekuwa hivi.
Sikia, human beings cheat because they want to cheat.
Hata wewe uliwahi Kucheat hukucheat sababu ya mapungufu yake.
So stop blaming yourself.
Stop it.
Unashindwa kuface the realities na kushindwa kufanya harakati zingine za maisha ukiamini hutafanikiwa.
Na unakoelekea utashindwa hata kuwa mwanaume.
Yes.
Ruhusu hiyo hali ya kuwa hujakamilika kiasi hakuna unachofanya kikafanikiwa unaamini ni nyota ya mkeo ndo mbaya.

Buddha!
It's in you.
Na ukiendelea kuiruhusu hiyo hali you are DONE!!
With or without her.
 
Kuna wanawake vicheche...

1. Inawezekana unaishi nanmanamke ambaye hajawahi kufanya Sala juu yako ili ufanikiwe....

2. Inawezekana unaishi na asiyekupenda....Ina maana Hana Nia moja na wewe...

3. Inawezekana unaishi na mwanamke uliyejitoa Sana kwake na yeye hajali na anakumixia maissue Kama ulivyosema..

Zote hizi no negative energies....huwezi kutoboa katika mazingira hayo...

Ila hujatuambia...ulipomwacha uliweza kiwa mwenye mafanikio???

La ushauri wangu huyo mwache tu....yqmewahi kunikuta pia
 
Huyo ni mlango wa 7,mkono wa kushoto
 
Nachokiona kinakutesa nikuendelea kukumbuka ulivyomfumania akikusaliti , ushauri wangu kama ulimsamehe toka moyoni acha kukumbuka ila kama huwezi kulisauhau tukio hilo la usaliti mwambie kua umeshindwa kimsamehe kila 1 aende zake
 


Kwani mwanaume huyu?
 
Endelea kuvumilia mkuu,mambo ya ndoa ni full majaribu,inawezekana pamebakia padogo tu kama miaka 10 ili ufanikiwe unaanaza kukata tamaa,au wakati unaoa wewe hukuapa kuwa utaishi naye mpaka kifo kiwatenganishe,tena katika dhiki na raha...!
 
Nashukru sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…