Maisha ya ndoa yamebadilika sana....

mfawidhi

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
246
255
Hapo kale mume ukirudi mke anakuelekeza bafuni ukoge kwanza kabla ya chochote;

Ila siku hizi:

Ole wako wewe mume urudi toka kazini na kupitiliza bafuni, maelezo yako itafaa yajitosheleze!
 
Hapo kale mume ukirudi mke anakuelekeza bafuni ukoge kwanza kabla ya chochote;

Ila siku hizi:

Ole wako wewe mume urudi toka kazini na kupitiliza bafuni, maelezo yako itafaa yajitosheleze!
Ukirudi kanye kwanza
 
Namm wacha nitafute mtu wa zamani muda huu nakaribia kurud home kishatenga maji ya kuniogesha
 
Back
Top Bottom