Hata hayo pia ni mapito, yatapita tu!Unakua bega kwa bega na mmeo, mnasaidiana kutafuta, akizipata anakuona tena wewe falah, anazitumia kama hana akili nzuri anakudharau, vitimbi visivoisha.....
Hapo roho itaning'inia duniani haipo ahera haipo
ha ha hahahaaaa,JF buana!Hata hayo pia ni mapito, yatapita tu!
AhsantePole
Unakua bega kwa bega na mmeo, mnasaidiana kutafuta, akizipata anakuona tena wewe falah, anazitumia kama hana akili nzuri anakudharau, vitimbi visivoisha.....
Hapo roho itaning'inia duniani haipo ahera haipo
Mapito mengine hayakuachi hivi hivi, unaezajikuta una safari ya kwenda Apollo kutibu moyoHata hayo pia ni mapito, yatapita tu!
Unakua bega kwa bega na mmeo, mnasaidiana kutafuta, akizipata anakuona tena wewe falah, anazitumia kama hana akili nzuri anakudharau, vitimbi visivoisha.....
Hapo roho itaning'inia duniani haipo ahera haipo
Ni vema sana kutenganisha maisha ya ndoa na undugu.....naamini umenielewa mtu mzima mwenzanguNa hapo ndugu wanarudi kwa kasi
mume anawasikiliza ndugu hao hao waliomdharau kupita mkewe
na ndugu sasa wanasema mke ndo mkorofi....
inaitwa fungu la kukosa....inatokea kwa wengi tu
Simuongezei mawazo, wala sio nia yangu.... Ila namuwashia taa tu aone na huko mbeleHaya Ni ya kweli Ila Kwa sasa tusimwongezee mawazo
Ndo mana pande hizi za huku kwetu wanachomaga nyumba au kutanguliza waume zao ,nawaza kwa sauti tuu wakuu japo siungi mkono hoja,Unakua bega kwa bega na mmeo, mnasaidiana kutafuta, akizipata anakuona tena wewe falah, anazitumia kama hana akili nzuri anakudharau, vitimbi visivoisha.....
Hapo roho itaning'inia duniani haipo ahera haipo