Maisha ya Mwanza

Maisha ya Mwanza

Wadau mimi ni mtumishi wa umma sasa nimehamishiwa jiji la Mwanza nina mke na mtoto na mfanyakazi. Ishu ni kwamba ni sehemu gani naweza kupata nyumba au appartiment kwa bei nzuri na gharama imekaaje kama napanga nyumba nzima.

Kuna sehemu inaitwa MWARONI!
Ukifika hapo unapata harufu moja safi sana ya lake victoria na Bei ya vyumba vya walevi wa Gongo km wewe ni vingi tu!

Bangi pia ni nyingi tu mkuu! Hilo jina lako Baada ya mwezi tu litageuka na Kuwa (yesu wa blue!)
Karibu sana.
 
Ina majini, ngoja tumwite atasema mwenyewe
Bill Cosby

We muuza Kimpumu unatafuta basha au?
Hivi chadema bado wanaendelea Kulipa kodi ya Chumba chako hapo Unapopikia hizo komoni?
Mama Nyakageni meno yote yamemalizika kwa kuonja Kimpumu!

Ukoo wenu una laana!
Yule blaza wako anaeitwa Nkwesa Makambo kwa kuendekeza Tap tap la maza wenu anatembea km kakata centre Bolt!
Kudadadeki!
Mapuya nuksi nyie!
Mnfnsssssssss!
 
Last edited by a moderator:
Nyumba ipo Nyerere road na Libert, pesa yako tu.
 
Kuna sehemu inaitwa MWARONI!
Ukifika hapo unapata harufu moja safi sana ya lake victoria na Bei ya vyumba vya walevi wa Gongo km wewe ni vingi tu!

Bangi pia ni nyingi tu mkuu! Hilo jina lako Baada ya mwezi tu litageuka na Kuwa (yesu wa blue!)
Karibu sana.
Teh teh teh au akakae IGOGO.
 
maka.lio yako kwa cc Wa mabatini hatuko mwanza

Mabatini juu ya mawe wamejaa wagogo tu!
pale sio mwanza manake ukiporomoka toka kule juu utajikuta umetua Ukerewe!
Hatari sana.

Wakati ule wa mafuriko wagogo na wajaluo wengi walijikuta wako Ukerewe wanakula furu kwa fujo!

Teh teh teh teh!
 
Teh teh teh! mabatini milimani watu wanajisaidia kwenye mawe au bugarika.
 
Mabatini juu ya mawe wamejaa wagogo tu!
pale sio mwanza manake ukiporomoka toka kule juu utajikuta umetua Ukerewe!
Hatari sana.

Wakati ule wa mafuriko wagogo na wajaluo wengi walijikuta wako Ukerewe wanakula furu kwa fujo!

Teh teh teh teh!

Ukijiunga na akina masanja mkandamizaji kundi litajuwa limepata mtu muhimu sana!
 
maka.lio yako kwa cc Wa mabatini hatuko mwanza

Inadhihirisha jinsi ulivyo wa mabatini maana ndio tabia zenu.Sasa pale nyumba zimebanana hata kupumua hamuwezi ndio kunafaa kuwe na ac sasa sujui unarojoka nini wakati ndio ukweli nyumba za huko hata upepo kuingia ndani ni shida kwa mbanano
 
Mbona mimi naishi Uswazi huku Mabatini na kuna hewa nzuuri?

Unaizungumzia mabatini ipi?

Tena niko uswazi kabisa huku mashineni!
 
Wabongo bana!! Yan bdl ya kumsaidia mnaingza mada zen za kjnga.
 
Mbona mimi naishi Uswazi huku Mabatini na kuna hewa nzuuri?

Unaizungumzia mabatini ipi?

Tena niko uswazi kabisa huku mashineni!

Mie mwenyewe nipo hapa nyuma ya maghuha mashineni ila nachoongelea ni utofauti ni nadra sana mtu wa bwiru ambaye yupo karibu na ziwa awe na ac nachoongelea mabatini tupo wengi na nyumba zimebanana na tupo mbali na ziwa so ac ndio unaweza kuweka kuliko yule wa capripoint au bwiru
 
Mbona mimi naishi Uswazi huku Mabatini na kuna hewa nzuuri?

Unaizungumzia mabatini ipi?

Tena niko uswazi kabisa huku mashineni!

Mabatini Kipindupindu huwa hakichezi mbali.
Halafu vilabu vya Kimpumu vinazidi Kuongezeka.
Zile nyumba za polisi miaka ile ya Geza ulole ndio zilikuwa madanguro ya kufungia Goli, sijui bado mnaendelea?

Halafu ile tabia ya kumwaga mapumba Mtoni nyie wagogo mnatuulia Kambare sana!

Acheni tabia hio. Au tutawarudisha kwenu Dodoma vijijini.
 
Back
Top Bottom