Asante kiongozi..ninaenda kuwekeza kwenye sekta ya afya..Lusaka patanifaa? Vipi kuhusu gharama za ofisi na utaratibu wa vibali vya biashara?kwa ushauri nenda Lusaka, Zambia kuna soko kabisa kwa ajili ya wageni Commesa pale hakuna usumbufu na bidhaa za kutoka Tanzania na SA zinauzika sana pale mzunguko wa pesa upo huko msumbiji mchanga wa chuma tuu...ila kama unataka kutembea tuu nenda....
Wengine hiyo Mtipweshi ndio unatutajia wewe kuwa kuna sehemu inaitwa hivo,sasa hebu tuweke sawa hiyo sehemu ni jiji au kamji na unaweza kukafananisha na jiji/mji gani kwa TZ ............ Lakini pia si vibaya ukituambia ni lugha gani inatumika huko .......??Habari wadau keshokutwa ninasafiri kutoka Dar kuelekea Mtipweshi Msumbiji, ninakwenda kufanya business survey ninataka kuwekeza.
Kwa wadau mliopo Mtipweshi au ambao mmewahi kuishi Mtipweshi nipe ni dondoo tafadhali. Taratibu za kupata vibali vya kufungua biashara Mtipweshi zikoje?
Vipi kuhusu hali ya maisha kwa ujumla ikoje, na vipi kuhusu usumbufu wa polisi kwa RAIA wa Tanzania?
With much thanx in advance
Habari wadau keshokutwa ninasafiri kutoka Dar kuelekea Mtipweshi Msumbiji, ninakwenda kufanya business survey ninataka kuwekeza.
Kwa wadau mliopo Mtipweshi au ambao mmewahi kuishi Mtipweshi nipe ni dondoo tafadhali. Taratibu za kupata vibali vya kufungua biashara Mtipweshi zikoje?
Vipi kuhusu hali ya maisha kwa ujumla ikoje, na vipi kuhusu usumbufu wa polisi kwa RAIA wa Tanzania?
With much thanx in advance
Wengine hiyo Mtipweshi ndio unatutajia wewe kuwa kuna sehemu inaitwa hivo,sasa hebu tuweke sawa hiyo sehemu ni jiji au kamji na unaweza kukafananisha na jiji/mji gani kwa TZ ............ Lakini pia si vibaya ukituambia ni lugha gani inatumika huko .......??
wanaongea kiputukizi..Wengine hiyo Mtipweshi ndio unatutajia wewe kuwa kuna sehemu inaitwa hivo,sasa hebu tuweke sawa hiyo sehemu ni jiji au kamji na unaweza kukafananisha na jiji/mji gani kwa TZ ............ Lakini pia si vibaya ukituambia ni lugha gani inatumika huko .......??
Nifafanulie mkuu hususani hapo kwenye dineri za kutosha
Ngoja nifatilie huu uzi kimya kimya, maana hii nchi ya matamko na maandamano mie imeshanishinda kwa kweli.
Kuwa makini usiende kimagendo na dawa utaozea jela au kutoa shekeli ya kutoshaukipeleka antibiotic huko unapiga hela ndefu mpaka utashangaa.
Tupatie darasa la zambia na biashara gani zinawateja mkuu?kwa ushauri nenda Lusaka, Zambia kuna soko kabisa kwa ajili ya wageni Commesa pale hakuna usumbufu na bidhaa za kutoka Tanzania na SA zinauzika sana pale mzunguko wa pesa upo huko msumbiji mchanga wa chuma tuu...ila kama unataka kutembea tuu nenda....