Maisha ya Mtanzania middle income

Maisha ya Mtanzania middle income

😝 huyu hata pakuweka mzigo ukimbana papo kaulize huko kibera!!!!!!!!Vyoo vinatembea!!!!!!!!!unaweza toka nduki mzigo umekubana ukifika unakuta choo kimehama.......choo kimeruka kama ndege.😝😝😝.*****.

Bado nacheka sina mbavu, eti choo kimeruka kama ndege.. hhahaahahahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom