Maisha ya Mtanzania middle income

uswaziland

New Member
Aug 1, 2020
1
0
Mimi ni Mtanzania na niko middle income Hiki ndo chumba changu. Ni heri kuliko Kibera

Screenshot_20200731-184557.jpg
 
Mimi ni mtanzania na niko middle income Hiki ndo chumba changu. Ni heri kuliko kiberaView attachment 1523946
Jitahidi kutatafuta mifuko mitatu ya cement, maji na mchanga tuma vijana wakakutafutie utawapoza hela kidogo tu, kama uliweza au mwenye nyumba aliweza kupandisha tofali zote hizo kupiga ripu kuna mshindaje?

Mpaka mlango wa nondo unao! Kuwa na wanawake wengi wa kuhonga, kununua pombe mnaweza ila kuboresha maisha yenu ni mgogoro! Kuna kaugonjwa fulani wabongo wanacho kutopenda vitu vizuri, au kupenda vitu vizuri na kujibweteka kufikiri vitakuja tu vyenyewe.

Kingine ni uchafu, pamoja na nyumba yako kuonekana haijaisha ila wewe pia ni mchafu. Umepanga panga vitu vyako hovyo hovyo kule nyuma, hufagiii, kitu ambacho ungeweza kurekebisha bila gharama yoyote ile! Ukijipanga kidogo na kopo moja mbili za rangi mbona hapo tunapasahau.acha uvivu na kulalamika lalamika utafanikiwa.
 
uswaziland,

Aise, hata mtafute slum TZ kwa tochi hamtaona, ukiangalia mkono wa kulia huo ni ukuta wa nyumba yenye grili la rangi ya rangi ya blue, alafu mkono wa kushoto, Kuna clotheline,kwa mbele ni geti la mabati, Sasa hapo slum iko wapi?
 
Jitahidi kutatafuta mifuko mitatu ya cement, maji na mchanga tuma vijana wakakutafutie utawapoza hela kidogo tu, kama uliweza au mwenye nyumba aliweza kupandisha tofali zote hizo kupiga ripu kuna mshindaje?

Mpaka mlango wa nondo unao! Kuwa na wanawake wengi wa kuhonga, kununua pombe mnaweza ila kuboresha maisha yenu ni mgogoro! Kuna kaugonjwa fulani wabongo wanacho kutopenda vitu vizuri, au kupenda vitu vizuri na kujibweteka kufikiri vitakuja tu vyenyewe.

Kingine ni uchafu, pamoja na nyumba yako kuonekana haijaisha ila wewe pia ni mchafu. Umepanga panga vitu vyako hovyo hovyo kule nyuma, hufagiii, kitu ambacho ungeweza kurekebisha bila gharama yoyote ile! Ukijipanga kidogo na kopo moja mbili za rangi mbona hapo tunapasahau.acha uvivu na kulalamika lalamika utafanikiwa.
Wewe nyumba yako iko wapi? Una mdomo kubwa kumbe unaishi kwenye banda la mbuzi.
 
Back
Top Bottom