Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Maisha ya mjini yanafundisha. Kama hufahamu pampers za mtoto zinanunuliwa moja moja. Tena hutumika kwa mtoko, kanisani, clinic, na siku kukiwa na wageni nyumbani. Siku zinazobaki anavaa nappy za kufua.
Wafuga kuku navwaizaji wameshajua biashara. Si wengi wanamudu bei ya kuku mzima. Kuna robo kuku na nusu kuku mtaani. Nusu kuku na matembele ya 2,000 watoto wanashiba kabisa.
Kipande cha sabuni kinakatwa nusu kwa wale wasiomudu bei ya kipande kizima. Nusu kipande nyumbani watu wote wataogea na wamwisho kuoga anaombwa aipeleke jikoni ikaanze kuoshea vyombo.
Kuna sukari ya kupima kwa glass. Inatosha leo tu na chai inaungiwa jikoni.