Maisha ya mchomoko Afrika Kusini

niliwahi kufika Jo’burg miaka kadhaa nyuma uko poa sana. ila miji kama Pretoria na cape town ni ghali sana kuishi.

niko tyr kukosolewa.
Na katika hiyo miji uliyoitaja Pretoria🇿🇦 ndo mji salama zaidi kuliko hiyo miji mingine. Mi nipo hapa Pretoria nafanya kazi katika Berbarshop ya waganda na nashukuru mungu maisha yanaenda.
 
Na katika hiyo miji uliyoitaja Pretoria[emoji1221] ndo mji salama zaidi kuliko hiyo miji mingine. Mi nipo hapa Pretoria nafanya kazi katika Berbarshop ya waganda na nashukuru mungu maisha yanaenda.
Piga kazi kiongozi kanyaga twende.
 
Wabongo wengi standard 7 au nothing so wakifika Dzonga hawawezi kazi Halali ambayo inahitaji lugha iwe imelala Kiaina hivyo hujachanganya na wabongo wenzao ambao Dili zao ndio hizo ulizoambiwa .
 
Na katika hiyo miji uliyoitaja Pretoria🇿🇦 ndo mji salama zaidi kuliko hiyo miji mingine. Mi nipo hapa Pretoria nafanya kazi katika Berbarshop ya waganda na nashukuru mungu maisha yanaenda.
Capetown huku ni mji mmoja sana uko kitaliii zaidi, huku kuna utaliii unaweza ukazunguka mpaka ukachoka na utaliii wa huku, hali ya hewa pia huku iko poa kama Europe vile kwa siku moja unaweza pata 4 seasons of the year, kwaiyo eneo kama hili lazima maisha kidogo yawe ghali.

Ila wabongo wenzangu nawashauri wajaribu ku move watoke bongo watembee watajifunza mengi

Wachanga vilevile karibuni huku mje kuvuna, biashara zenu huku msomali na muethiopia ndio kazishika
 
Bia za huku ni lita moja, ukiona chupa ilivyo kuwa kubwa utashangaa unywaji wa pombe huku ni mkubwa na ukikaa uko location ndio kabisa pombe kama ni mnywaji utakunywa sana.

Nyama utakayokula mwaka 1 hapa ni sawa na nyama ya utakayokula bongo hata mika 3. Nyama mtu anakula mara 3 kwa siku

Kama uko Cape hapa tubadilishane experience's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…