Maisha ya mchomoko Afrika Kusini

Kuna dogo huku naishi nae kitaa kimoja, kila uchwao story zake ni kuwa anataka kwenda kwa madiba na hana mtaji wala ramani, nimeshamshauri sana but sikio la kufa halisikii dawa,, nitampa asome huu uzi huenda maamuzi yake yakabadilika.
Kama Hana ujuzi Wala mtaji ataishia kupost tu picha South
 
vijana wanaona wanachelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…