Habar zenu ndugu, nimeamua kuja na mada hii kama kichwa cha habari kilivyoandikwa.
Dunia hii Kuna kupenda na kupendwa, kumpata na kupatikanka, kuwekeza na kuwekezwa na kuchumbia na kuchumbiwa.
Inasemekana sana binadamu walio wengi ni vigumu sana kuacha mapenzi au mpenzi wa awali..... Hii Inasemekana ipo sana kwa wanawake, anaweza kuwa Ana mtu wake vizuri lakini anapokuja mpenzi wa zamani ambaye alipenda basi lazima atafanya njia yoyote ile wakutane. Ni vigumu kuacha mapenz ya awali kwa walio wengi.
Hii imemtokea Rafiki yangu ambaye alimfuatilia sana dada mmoja kwa Muda wa miaka miwili na mwishowe akampata mnamo 2009, wamekaa na kupendana sana na wamedumu mpaka leo, ni mfano wa kuigwa na kilichobaki basi tunasubir Ndoa. Tunampenda sana Rafiki yetu na huyo mpenz wake ambaye wanaye mpaka sasa.
Kama ilivyo ada kwa mwanaume ukipata mwanamke mzuri basi matunzo hayatakuwa mbali, jamaa kamtaftia na kazi huyo mpenz wake baada ya kumaliza chuo. Hata leo hii jamaa kamweka profile picture FB na whatsapp kwa sababu ya kumuamini.
Kinachonisikitisha leo, Kuna mdada mmoja ambaye pia ni Rafiki yangu wa mda mrefu, ni mtu ambaye ananisaidia mengi kwenye ushauri, Akaniambia mdogo wangu(yaani mdogo wake) yupo hapa na mchumba yake, kwa vile namjua vizur kwa sababu tuliwahi kukaa wote kijj kimoja Huko mkoani. Basi tunasalimiana pale na nilipomuuliza vipi nimesikia uko na mchumba wako hapo, Akanijibu ndio niko na mchumba wangu(akamtaja jina), nkahamaki kisha nkamuliza huyo mchumba ni wa wapi, akasema yule wa kule nyumbani karibu na sokoni nyumba ya juu,
Nikamuuliza mmeanza lini, akasema huyu mbona mpenz wangu toka shule ya msingi pale(akataja shule), nikamuuliza mara nyingi lakini ukweli ukabaki pale pale kuwa huyu ndo yule ambaye jamaa kamweka profile picture sehemu nyingi za mitandaoni. Mimi na huyo mwanamke tunafahamiana vizur maana jamaa alipokuwa anatongoza miaka hiyo huyo mwanamke tulikuwa tunasoma shule moja. Bahat nzur wakat maongezi yanaendelea yeye alikuwa na wifi(Rafiki yangu) yake wako ndani wanaandaa chakula
BINAFSI nimeapa kutomwambia Rafiki yangu maana yule Rafiki yangu anasema hawa wadogo wanapendana kweli yaani wameanza toka shule ya msingi, basi litakalokuwa liwe, Lakini Inaonekana huyu mwanamke anampenda sana huyu dogo, Lakini kwa Rafiki yangu yupo kwa ajili ya exposure na pesa
NB: Jamani mkipata wapenz wapya wafuteni na endeleeni na hawa mlio nao au mliowapata kwa sasa.