welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,229
- 4,834
Kuna mengi katika maisha ya mapenzi ila zingatia haya kwa ajilii ya furaha yako,
MUAMINI- katika kuaminiana kunatunza mengi ikiwa ni pamoja na mazuri na mabaya ila mnapo aminiana katika maisha ya mapenzi furaha utawala,
UHURU- mpe uhuru mwenzako na vitu vyake kila mmoja anapokuwa huru katika Mambo yake basi amani hutawala na hamuwezi kugombana kwa mambo madogo madogo Kama simu nk.
Kumbuka
Iwe baba au mama
Iwe dada au kaka
Iwe kijana au binti
Tafuta hela sana kwa bidii mapenzi yatakufata,
Usitafute mapenzi sana hela haitakufata.