Maisha ya mama Anna Tibaijuka kijijini Muleba

Maisha ya mama Anna Tibaijuka kijijini Muleba

Huyu mama anaonekana ni kichwa sana na very hard working sidhani kama ni fisadi. ila kitu kidogo sana kimemcost kwenye escrow scandal ni baada ya kupokea hela ya magumashi kwa jina lake, imemcost haswaa.

Ni kweli mkuu, kaja kuchafuka kwa kitu kidogo sana ila Mungu atamlinda.
 
Hela ipo kitambo kumbe huyu mama,apumzike tu ale upepo,hv kuna kufilisiwa tena hawa jamaa au ndo wakishavuliwa vyeo basiiiii
 
Mama 'Muga' amekuwa muhanga wa siasa chafuu!
Ki ukweli huyu mama ana utu, anajua thamani ya utu na anawajali watu, waTZ wamemhukumu bila kujua ukweli wowote nyuma ya pazia, binafsi namwomba Mungu ampe nguvu ili asivunjike moyo wa kuwasaidia wasio jiweza
siasa ni kazi ngumu na mchezo mchafu sana!
 
Eti Chachu Ni Kweli Pia Huyu Mama Ni Mwathirika Wa HIV? Kama Ni Kweli Weka Hewani Pia,huu Ugonjwa Kila Mmoja Wetu Ameguswa Nao,na Kila Familia Imelia Kwa Ajili Yake,kama Si Mie Basi Ulimgusa Kaka Yangu,binamu Yangu Etc,so Hakuna Ajabu.
 
Nyumba yake ina hadhi nafikiri ndio maana mkuu wa Kaya aliamua kulala hapo alipoenda kufanya ziara huko Muleba
 
Watu wanasahau kuwa huyu alikuwa mkurugenzi wa shirika la Umoja wa Mataifa, kwa hiyo kujenga nyumba kama hiyo na nyingine na nyingine isingekuwa issue kabisa. Sema ndiyo hivyo mgao wa Ruge ume-cost, vinginevyo huyu mama yuko vizuri kiuchumi muda mrefu sana.
 
Nimeipenda hiyo nyumba na mandhari yake. Afanye aboreshe fensi na geti. Itakua poa fensi ikiwa ya mimea/maua miti.

Kuhusu escrow kumtokea puani, kwa CCM walivyo, isijekuwa ni muendelezo wa igizo tu huu. Hasa ukizingatia huyu alikuwa na JK kambi moja. Tuendelee kufuatilia mengi yatajiri.
 
Hivi huwa najiuliza bukoba miti huwa haioti ama manake migomba miingi na ndio maana ikitokea upepo mkali huwa migomba inaanguka karibu yote hembu kwa wenyeji nisaidieni hii imekaaje
 
Ni kweli mkuu, kaja kuchafuka kwa kitu kidogo sana ila Mungu atamlinda.

Japo hawezi kusema lakini kuna uwezekano mkubwa kuwa zile pesa alipewa na Rugemalila kwa ajili ya kumsaidia kwenye "kampeni za kimyakimya" za urais mwakani.

Wagombea wote wa CCM wapo busy wakati huu kutafuta uwezo wa kifedha kujizatiti kwenye kampeni mwakani, Tibaijuka hawezi kuwa tofauti, hasa akijua kuna posibility ya "zamu ya mwanamke" ili kuwazuia wemye makundi ndani ya chama.

Bahati mbaya atasemaje kuwa "nilipewa kwa ajili ya kuunda timu yangu?"ataelewekaje?kuwa alikuwa anataka kuunda timu kwa pesa?itabidi afe na siri yake moyoni.

Bahati mbaya kwake ghafla hatua yake hiyo ndio imekuwa kaburi lake kisiasa ata kabla mpango haujatake off.

Na asivyo mzoefu wa haya mambo, alipanick mno na bila shaka alikimbia haraka sana kupeleka zile pesa shuleni kuondoa ushahidi, badala ya kutulia tu kama wenzake akina Mzee wa Vijisenti.Anajilia vyake taratibu hajali maneno ya watu.
 
Hela ipo kitambo kumbe huyu mama,apumzike tu ale upepo,hv kuna kufilisiwa tena hawa jamaa au ndo wakishavuliwa vyeo basiiiii

255.jpg
Jengo la utawala shule ya wasichana Kajumulo
7A.jpg
Jengo la bweni Shuleni

Screenshot from 2014-12-23 15:20:05.png
Uwekezaji mwingine wa Mama Tiba, hili eneo lilikuwa makazi ya mumewe Mzee Tibaijuka.
 
Mama 'Muga' amekuwa muhanga wa siasa chafuu!
Ki ukweli huyu mama ana utu, anajua thamani ya utu na anawajali watu, waTZ wamemhukumu bila kujua ukweli wowote nyuma, binafsi namwomba Mungu ampe nguvu ili asivunjike moyo wa kuwasaidia wasio jiweza
siasa ni kazi ngumu na mchezo mchafu sana!

Bora hata wewe mkuu umelijua hilo la mama Tiba kuwa muhanga.
 
Eti Chachu Ni Kweli Pia Huyu Mama Ni Mwathirika Wa HIV? Kama Ni Kweli Weka Hewani Pia,huu Ugonjwa Kila Mmoja Wetu Ameguswa Nao,na Kila Familia Imelia Kwa Ajili Yake,kama Si Mie Basi Ulimgusa Kaka Yangu,binamu Yangu Etc,so Hakuna Ajabu.
Hizo ni kashfa mkuu, hakuna ukweli. Lazma watu wanasema hivyo kutokana na umbo lake la wembamba lakini wanasahau kuwa sio watu wote wanene.
 
Nyumba yake ina hadhi nafikiri ndio maana mkuu wa Kaya aliamua kulala hapo alipoenda kufanya ziara huko Muleba

Hahahah nawe umekumbuka watu walilalamika jamvini, Mzee wa kaya aliona magumashi kulala ikulu ya Bukoba akaamua kwenda kwenye mjengo huo wa maana.
 
Back
Top Bottom