Mahabusu ni kama kuishi five star hotel, kuna wapishi wanawapikia nyinyi mnakaa tu.
Gerezani ndiyo kuna kazi, lakini mnapikiwa.
Mahabusu waliopo gerezani wanachopikiwa cha zaidi ni uji wa dona asubui ,, na mchana saa saba ugali na maharage mabovu,siku za week end ndio mnakula wali na maharage ,,,
Ila kama ndugu zako wanajiweza utaletewa Chakula cha kutoka nyumbani, na mkila chakula cha mchana iyo saa Saba, hamli tena hadi kesho yake,, na ikifika saa kumi kasoro kulala,
NA kwa upande wa wafungwa huwa wanakula chakula cha jela hairuhusiwi ndugu kuwapelekea Chakula,,,,,,Mfano Lulu sasaivi anakula ugali maharage wa jela na wali maharage.
NA jela kipindi cha joto kama hiki, ,utawaonea huruma aisee,, kila mtu amekata kipande cha plastiki anajipepea joto, ,, kwa kifupi jela ni kaburi ya mtu mzima,,,yaani ni sawa umezikwa ukiwa hai, ,, aswa kwa jela zetu za nchi hizi za kiafrica