Maisha ya Kwamtogole shost anayashangaa

Sikuizi usikii kinyaa tena?
Ndugu zangu watanzania kwa mfano mtu huyu kesho awe kiongozi wetu unazani anaweza kujua shida zetu kwa maneno kama hayo,na akasaidia jamii kabisa atawasaidia washua wenzake tu
samahani kwa kukutolea mfano kijana
Sikuhizi nimekua,
Nmeshaishi sehemu nyingi na watu tofauti so nmejua kubadilika kutokana na mazingira.

Lakin bado haibadilishi kwamba mtu kuwa na kinyaa hawezi kuleta mabadiliko ktk jamii.....mm naamini ule uchafu na mazingira yale ni ya kujitakia wao wenyewe haiwezekani mtu unajenga choo alafu maji ya kutoka uko uyaelekeze kwenda mtaaani...ni UCHAFU na kukosa ustaarabu,

Mazingira ya kule kubadilika yanawezekana kwa asilimia zote kabisa ila kwanza lazima fikra na mitazamo ya wanaoishi ibadilike....wachukie uchafu na ile hali.....wataweza laasivyo miaka yote wataishi vile.
 
Bado ataona mengi!!
Si bado hajabahatika kuona wanawake wakisutana ile wanaita msuto kokoto! hahahahahaah
 
Mzee wenu alikuwa sahihi,alikuwa akiwaonesha upande wa pili wa maisha ya binadamu wenzenu,usidhani kwamba alishindwa kupitia makumbusho,victoria,kinondoni hadi Kariakoo, la hasha ni kutaka kuwaonesha kuna maisha nje ya Kijitonyama.
Ni kweri kabisa nakumbuka hata yeye anasema alipitia maisha ya uswazi enzi za ujana wake lkn alipambana akatoka.....na ni mtu ambae hapendi uchafu au kuwa rough,
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ni kweri kabisa nakumbuka hata yeye anasema alipitia maisha ya uswazi enzi za ujana wake lkn alipambana akatoka.....na ni mtu ambae hapendi uchafu au kuwa rough,
Yeah,uswazi tumepita wengi na tuna washkaj zetu huko,kifupi kuna maisha yanaendelea na ya utulivu sana sana sana
 
Sikuhizi nimekuwa,
Nmeshaishi sehemu nyingi na watu tofauti so nmejua kubadilika kutokana na mazingira.

Lakin bado haibadilishi kwamba mtu kuwa na kinyaa hawezi kuleta mabadiliko ktk jamii.....mm naamini ule uchafu na mazingira yale ni ya kujitakia wao wenyewe haiwezekani mtu unajenga choo alafu maji ya kutoka uko uyaelekeze kwenda mtaaani...ni UCHAFU na kukosa ustaarabu,

Mazingira ya kule kubadilika yanawezekana kwa asilimia zote kabisa ila kwanza lazima fikra na mitazamo ya wanaoishi ibadilike....wachukie uchafu na ile hali.....wataweza laasivyo miaka yote wataishi vile.
Good sasa unaonaje tufanye mpango tukatoe ELIMU hii uko tandale tukishilikiana na wewe na
Sky Eclat tumtafute na [HASHTAG]#diamond platinumz[/HASHTAG]
 
Mi naona watu wanaipaisha sana Tandale kwa umaarufu wa uswazi
hebu njooni na huku kwa Buguruni kwa Mnyamani hasa sipenko muione uswazi halisi
Tandale mbona ni sawa na Mikocheni tu ukilinganisha na kwa Mnyamani, Matumbi, Sukita au Ghana
 
nimekurupushwa hapa wakuu nilikuwa napata kagongo kidg ili nipate stim af mida nirudi zangu kuendelea na kusukuma mkokoteni wangu Mara ghafla mamwela hao asee wameniboa make nlikuwa hata sijamalizia kijiglass changu
USWAZI RAHA ASIKWAMBIE MTU
 
Mlete tandale hapa karibu na kituo cha polisi ili nimtembeze tembeze maeneo ya UWANJA WA FISI,hapo kwa Mtogole mbona Oysterbay au Masaki.Kuna maeneo huwa nikipita hadi najiuliza hawa Watanzania wanaishije huku.....
Hivi haya maandishi ya rangi rangi kwani unafanya kazi CORAL PAINTS?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Good sasa unaonaje tufanye mpango tukatoe ELIMU hii uko tandale tukishilikiana na wewe na
Sky Eclat tumtafute na [HASHTAG]#diamond platinumz[/HASHTAG]
Sio rahisi kubadili mitazamo ya watu na hisia zao, wale washakuwa addicted na yale mazingira.....lakin sio mbaya kujaribu maybe baadhi wataelewa.

Nilishangaa sana niliposikia wale wa jangwani na bonde la mkwajuni kutolewa kwa usalama wao lkn bado wakarudi tena.....kumuelewesha mswahili inahitajika jitihada kubwa.
 
Mi naona watu wanaipaisha sana Tandale kwa umaarufu wa uswazi
hebu njooni na huku kwa Buguruni kwa Mnyamani hasa sipenko muione uswazi halisi
Tandale mbona ni sawa na Mikocheni tu ukilinganisha na kwa Mnyamani, Matumbi, Sukita au Ghana
Upo sahihi,maeneo hayo pia ni nyoko,ila hata maandazi road MSASANI,ila Tandale ni SAMPULI YA USWAZI hasa kwa DSM
 
Huyu shost nilisoma nae form three na four yeye alikuwa kule ambako phyisics na chemistry ni msamiati. Shost wa ushuani lakini huko mkoani. Amekuja mjini kuchukua passport na visa anataka kupanda pipa. Amenitafuta kwnye WhatsApp anaiomba akae kwangu kwani hata mji w nyewe haujui.

Shost anashangaa maisha ya huku kwetu, mpangaji mwenzangu anasafisha koo wakati anaoga shost ananiambia cinaamtia kichefu chef. Kama hiyo haitoshi nimemtuma mtoto akanunue vitafunio shost anashangaa eti kwanini tusinunue mkate supermarket. Haya ndiyo maisha yetu nyinyi wa ushuani.
Kumbe wewe ni jirani yangu kwa mtogole?njoo machokodo ule eid mkuu!
 
Huyo shosti yako mwambie avumilie bwana ndiyo maisha yetu kwamtogole mbona kitoto tena mpo mjini magorofa mwayaona

njoo huku kwetu namtumbo gari kwa week unaliona moja. Haja twaenda pori. Sema kwenye vitafunwa asingepata shida viazi mihogo na magimbi yapo
 
Back
Top Bottom