Maisha ya Kwamtogole shost anayashangaa

Mwambie kwamtogole mpaka kwa binyau hata ndoa nyingi ni kushea tu hata yeye wanaweza kumshea asipoangalia
Kwa Bi Nyau more civilized than kwa.mtogole,yaani kwa Mtogole inasubiri sana,uswahilini kunaishia aidha Chama au kwa Tumbo,kwa bi Nyau hadi Moroko hotel kupo vizur,ukumbuke hata Iddi azan ndo yupo maeneo hayo,na maeneo yale kuanzia Popobawa kwenda Moroko hotel ni MAGOMENI
 
Mto
Huyo shosti yako mwambie avumilie bwana ndiyo maisha yetu kwamtogole mbona kitoto tena mpo mjini magorofa mwayaona

njoo huku kwetu namtumbo gari kwa week unaliona moja. Haja twaenda pori. Sema kwenye vitafunwa asingepata shida viazi mihogo na magimbi yapo
Mtoto wa kishua amezoea cornflakes leo ana on a bakuli la chapati, vitumbua na maandazi asubuhi
 
Back
Top Bottom