Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Una uhakika na usemayo?Hakikisha angalau una uwezo wa kusave angalau mil moja kwa mwezi na unauwezo WA kutumia sio chini ya mil mbili kwa mwezi haijalishi unazipata vii
Habari wadau wa jamii forum...
Ukiwa na miaka 30 unatakiwa kuwa na maendeleo gani haswa kama kijana wa kuime/mwanaume ili akutazamae aseme kweli wewe mpambanaji
Usiogope, mbona mimi ninavyo, na nimevipata nikiwa na 29. Lazima ujue kujibana, la sivyo hutoki30yrs??....labda huko nchi za wenzetu.
Nilikuwa nasubiria comment kama hii..Ukifuata "akutazamae" you'll never be happy. Maisha hayana formula. Umri ni namba. Pambana constantly mpaka siku unapoondoka duniani.
Mwanaume mpambanaji na mjanja ktk umri wa miaka 30 huwa anakuwa na mambo yafuatayo :-
(1) Ana mke na angalau mtoto mmoja
(2) Ana gari la kutembelea japo la milioni kumi
(3) Ana nyumba angalau moja au ndo anaendelea na ujenz yupo kwenye hatua ya lenta nk au ana kiwanja anajipanga kuanza kujenga
(4) Ana chanzo cha mapato cha uhakika kama vile biashara, ajira ya Kudumu nk
Ukifikia umri huu bado upo nyumbani kwa wazazi unakula ugali wa bure, unavaa milegezo tu na kutongoza ovyo videm vya Facebook na kwenye mitandao mingine, basi ww ni hasara kabisa!!!!
Kwa mujibu wa nani?Uwe na nyumba, viwanja, gari, mke, na biashara hata ndogo ndogo moja
Watu wanapenda sana kukariri maisha.Ukifuata "akutazamae" you'll never be happy. Maisha hayana formula. Umri ni namba. Pambana constantly mpaka siku unapoondoka duniani.
Hiyo ni challenge tu nimempa, sio lazima uyatimizeKwa mujibu wa nani?
Hapa umegonga kwenyeweVyoooote uwe na afya njema kila kitu kinakuja
wee jamaa weeeeInatakiwa uwe una kmapuni ya ku betting ...
Maisha ni tofauti kwa kila mtu,ukiona hujapata usipanick,jua wakati wako bado endelea kuchapa kazi na kutafuta pesa kwa njia halali.Habari wadau wa jamii forum...
Ukiwa na miaka 30 unatakiwa kuwa na maendeleo gani haswa kama kijana wa kuime/mwanaume ili akutazamae aseme kweli wewe mpambanaji
Nilikuwa nasubiria comment kama hii..
Umemaliza kila kitu