Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,983
- 168,499
Pichani: Mh.Abood Jumbe(kushoto), Mh. Rashid Kawawa(katikati) na Chifu Adam Sapi Mkwawa walipokuwa kwenye mafunzo ya JKT kwenye kambi ya Ruvu.
Hii inanikumbusha " two three up, two three down, two three turn about, two three kanyaga, two three forward" lugha za kwenye kwata hizo. . . . .! ! !
mpaka wote ni mahayati hii ni long time sana