Chigurh
Member
- Apr 2, 2025
- 23
- 86
Habari zenu
Mara nyingi hua nasikiliza story mbalimbali za maisha ya jela nchi tofauti tofauti. Ubakaji wanaume kwa wanaume, madawa ya kulevya, ukatili, nk
ila hua siskii sana story za maisha ya Jela Tanzania. Story halisi za watu walio-onja maisha ya jela kwa muda mfupi au miaka.
Iwapo una experience hii, tupe story yako. Ulioyaona, yaliokushtua, yanayaoendelea, yasiyojulikana, etc.
Au pia hata kama unamfahamu mtu wa karibu aliekupa story ya maisha katika sehemu hizi.