BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,188
- 14,346
- Thread starter
-
- #21
Nimekuelewa mkuuRacist kama ulivyoitaja kumaanisha Racism wala si mfumo wa kimatabaka kwa misingi ya kipato, huo ni mfumo wa ubaguzi kwa misingi ya rangi au asili ya mtu anapotokea....
Aisee ukibahatika kupata bila connection yoyote shukuru Mungu. Ila alichokisema muungwana kina ukweli wake na hizo nyodo zilizo kwenye bold ni shibe za kupata kwako.Acha mambo ya kulia lia. Hakuna cha connection. Serikali inatangaza ajila na watanzania wote wanaomba na mchujo, interview na selection zinafanyika kulingana criteria na vigezo. Wee kalia kuti na mkeka wa bibi na kulalamika eti kuna upendeleo. Mengine masikini wamefungwa na ujinga wa kutojiamini, kukosa hata 1000 ya kuingia internet na kufanya application au kutype na postal charges za barua, kuzungukwa na masikini wanakujaza ujinga wa kimasikini, kulogana, n.k. pambana struggle for existence and survival for fittest!
Nimeipenda iyo.Watafutie wanao connection mzee. Fanya wiring mapema kiasi wanao wakifika kwenye interview wanaulizwa how is your daddy/mummy doing? Then njoo kesho uanze kazi.
Waambie! Ndo maana wazungu walisema "vicious circle of poverty". Yaani ukiwa masikini waliokuzunguka ni masikini, mawazo unayopewa ya kimasikini, unachoamini ni kuwa haiwezekani, utaoa masikini, utakula vyakula vyaifu utakonda na kupata maradhi mwisho utakufa. Lakini ukijiamini kuwa Mungu alituumba wote sawa na wote tumapata rehema zake bila ubaguzi utajitia moyo na kufumbua macho na kuona fursa ambazo wengine hawaoni na utaacha kulalamika eti mpaka uwe na connection ndo upate kazi! Rubbish! Changamka mtoto wa kiume!Kabla sijapata ajira PSRS (utumishi) nilikuwa na mawazo ya kipumbavu kama yako,ila baadae nikakaa nikawaza nikaamua kutumia njia zile zile wanazotumia wengine bila kuchoka,amini usiamini mambo ya connection nilikuwa nayaamini kwa asilimia 100% ila baada ya kusota kivyangu kwa muda wa miaka 3 bila kuchoka nikafanikiwa kupata ajira bila kumshirikisha ndugu yangu yeyote yule ambao wapo kwenye system tena vitengo muhimu ,ushauri jiamini toma maombi ya kazi bila kuchoka ukiitwa kwenye interview nenda bila kuweka matumaini kuwa lazima Wewe ndo ucjaguliwe muombe mungu uwe na afya nzuri nakuhakikishia utatoboa tu.mwisho usichague kazi kwani kazi ndogo unayoimba ndo inaweza kuwa msaada wa kufikia kazi kubwa unayoitaka maishani.usiku mwema
Write your reply...Tanzania hii kama huna connection, Hata kupata chakula msibani ni shida.
Sasa Kuna mwingine Hana mtu wa kumuongoza Kama wewe ulivyomuongoza huyo kijana wako.Miaka kadhaa iliyopita enzi ya utawala Wa JK( awamu ya NNE) nikimshauri kijana wetu baada ya kumaliza degree yake ya BAF, nilimwbia aamdike barua na kuzisamabaza kwenye mabenki, alifanya kama milivyomuagiza, Alifanya na zaidi, aliandika barua za Maombi ya kazi mabenki yote, alimwandikia na mpemzie,
Aliitwa kwenye benki 2, akifanya Interview benki moja akapata kazi, na mwenzie aliitwa benki moja akafanya Interview naye akapata kazi kwenye hiyo Benki. Wakaoana na maisha yakaendelea.
Baadaye akaomba kazi sehemu nyingine akaitwa Interview. Tukakutana kwenye Panel kila mtu kaja kivyake, baadaye akapata hiyo kazi kwa nguvu zake mwenyewe japo nilikuwa kwenye Panel sikufanya chochote.
Tatizo ukianzisha biashara vilaza mliopewa connection tra mnakuja kutukadiria kodi isiyo na kichwa wala miguu matokeo yake mtu unafirisika.Km wazazi wako awakutengeneza connections wew tengeneza ili watoto wako wakikuta huu mfumo isiwe taabu achana na ajiraa fanya vitu vingine kwan !!! Mpka wote mkae ofisini mbona izo laki nane mnazolilia kwa mwezi ni ndogo sana ukilinganisha na thamani yako na ya elimu yako na ya muda wako acheni kulialia anzia hapo.
Sasa mkuu kutongoza demu Kuna uhusiano gani na interview ya kazi.Kuna watu wamepata ajira zile za TRA 2017 bila hata connection interview ile ile ya watu 29,000 na kuna mtoto wa kamishna huko huko TRA alikosa kazi wakapata watu wasio na connection wabongi wengi hua wanaamini sana katika ku connectiwa nimewahi fanya interview 10 kati ya hizo 4 nilipata kazi hizo katika kipindi tofauti 5 nilikosa kwa sababu sikuweza kudhihirisha uwezo kuwashamishi panel, moja nilikosa sababu nilimtongoza mrembo aluekua internship kumbe kuna kioo tinted wakati nafanya yangu jamaa walikua wakinicheki live kabisa..ila wakaja kurudia tena tangazo sikuomba tena sababu niliona ni kujichosha...
Ndiyo hvyo halaf wajinga waliopewa kazi na ndugu zao hawaoni hiyo hali wanaendelea kutetea tu kwa sababu hawajawah kupambana wenyewe wakaona ugumu wake.Sahz uliesoma ndo unaonekana kiazi kulko ht asiesoma,ht kusema kwa wat huwez
Mkuu mambo mengine usipinge ili uonekane na wewe umekoment. Alichozungumza mtoa post kipo na ni ukweli kabisa. Kwani hata monchoari kama huna conection maiti yako utapewa ila utazungungushwa na hiyo ndio sistimu ya kibongo. Au kwakuwa mwenzetu wewe umepigiwa pande somewhere ndo unatuona sie tusiokuwa na malefa mambumbuAcha mambo ya kulia lia. Hakuna cha connection. Serikali inatangaza ajila na watanzania wote wanaomba na mchujo, interview na selection zinafanyika kulingana criteria na vigezo. Wee kalia kuti na mkeka wa bibi na kulalamika eti kuna upendeleo. Mengine masikini wamefungwa na ujinga wa kutojiamini, kukosa hata 1000 ya kuingia internet na kufanya application au kutype na postal charges za barua, kuzungukwa na masikini wanakujaza ujinga wa kimasikini, kulogana, n.k. pambana struggle for existence and survival for fittest!