Si wengi wanakua wamebanwa kwa muda mrefu huku wakiaminishwa kama wanataka hayo mambo basi watayakuta chuo so wanapoingia chuo ni kama wamefunguliwa kwahiyo, kwahiyo ukimfuata akiona unafaa kuliwa anakukula ingawa kwa akili za vijana wa kiumbe huwa wanadhani wao ndio wamekula, ila in reality wao ndio waliwao




.
Wanawake wako very smart kwenye eneo hili, na utofauti wetu ni kwamba sisi tunatamani kwa kuona na ukishaona na kutamani basi unatongoza ila wanawake huwa hawawezi kutongoza kwahiyo akikupenda anakutega ili umtamani na umtongoze akakukule(au tusiseme kukukula, tuseme akakutumie


).
Kwahiyo kinachotokea hapo mwanamume ataona daah yule mwanamke nimemla kimasihala ila in reality yeye ndio ameliwa kimasihara.
Na hii ndio hutokea kwa mabinti wengi wa chuo, ukiona ni mrahisi ujue ni amependa kukujaribu aone ladha yako coz wengi huwa hawako serious kwenye mapenzi na badala yake huwa wanajaribu jaribu tu kama mfanyavyo vijana wa kiume.
Kwahiyo vyuoni wamejaa maplay boy na maplay girl.

