newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,386
- 583
wakware humu mnauliza jinsia ili iweje,mfanye barter Trade. Amesema yupo Tengeru na course ni Certificate,anaomba msaada kama unayo laptop/pc imezagaa zagaa mtumie Tu.
Ukisaidia bila matarajio unajifungulia milango ya baraka ktk maisha yako
Ukisaidia bila matarajio unajifungulia milango ya baraka ktk maisha yako