Maisha ya chuo yamenishinda, sina pesa

Maisha ya chuo yamenishinda, sina pesa

Yeye anaishi chuo ila hasomi, na kama anasoma basi ni vile vyuo vya kujionyesha, watu wamesoma mpaka wanamaliza hakuba cha laptop wala smartphone na wamepiga GPA za hatar sasa wewe ushindwe kwa kukosa hivyo vidubwasha.
 
ni mwaka wa 4 sasa npo chuo na sina PC wala SMARTPHONE. ndugu chuo c lazma uwe na PC japo ni muhmu kuwa nayo. komaa ipo cku utafurah
 
Nasoma certificate ya maendeleo ya jamii hapa tengeru arusha
 
Nasoma certificate ya maendeleo ya jamii hapa tengeru arusha

Na bado ukitoka chuo mtaani ndo kuna msoto zaidi....usipojifunza kuwa mvumilivu kwa sasa nahofia mwisho wako hautakuwa mzuri..... Smartphone na laptop wala sio mahitaji ya msingi. Rahisisha tu mahitaji yako na ukibahatika kupata msaada pangilia vizuri matumizi yako
 
Nasoma certificate ya maendeleo ya jamii hapa tengeru arusha
kumbe CHETI
halafu ukimaliza hapo unategemea kupata jazi gani? maana miaka ile ilikuwa unatupwa kijijini kusiko na umeme unakuwa BIBI MAENDELEO wa Mtaa ambako kwa hakuna umeme wa PC wala Smartphone
Siku hizo hakuna tena vikazi km hivyo upinzani wanakomaa mkafanye kazi za maana au ukasome utafute kazi ingine
hivyo vifaa vipigwe marufuku kwani nimeona hata watoto wa "O" level wanatumiana majibu ya mitihani badala ya kusoma na kushinda F/B au Jamii Forums
 
Sisi hatupewi mkopo kbs maisha yenyewe ni kujitegemea mwanzo mwisho home maisha yetu tunaishi kwa kutegemea vibarua
 
Sisi hatupewi mkopo kbs maisha yenyewe ni kujitegemea mwanzo mwisho home maisha yetu tunaishi kwa kutegemea vibarua

Hivi umesema smartphone unaitumia kwenye course gani vile ???
Kama kwenu mnaishi kwa vibarua mbona unataka ya juu sana
 
Smartphone ya kiswahili ile ya tigo watakuhonga, ila PC lazima kwanza uwe mrembo na pili ukate sana kiuno kushawishi. Smartphone ya laki hata kwa one night stand unapatiwa...
 
Wengi humu tumepitia maisha hayo tukiwa chuo, kwanza sio kwamba bila laptop au Smart phone hauta graduate. Washkaji kibao wamemaliza chuo bila hayo mazaga so cha msingi usiji linganishe na mtu yoyote yule ishi kama wewe, njaa haiui ila itakuumiza kwa muda tu. Komaa maisha sio lelemama

Ushauri mzuri sana. Be blessed
 
mbona wengne wamesoma chuo bila kua na PC na wamegraduate vizur,
Acha kutaman vitu ambavyo huna uwezo navyo.
Tamaa itakufanya uje kuiba!!!
 
Chuo ninachoishi kila kitu ni kujitegemea sina pesa nimebakiwa na elfu kumi natakiwa niwe na PC na Smartphone.

Home kwetu masikini.

Oooh! Mungu wangu, anyway pole kwa kua haujaikubali hali ya maisha ya kwenu ndo maana uko hapa unalalamika, mimi nilipata mkopo lakini jina lilienda chuo tofauti na nilichopangiwa na TCU na hata wakati mwingine mambo ni magumu hadi nakosa pesa ya kutoa hard copy, lakini najipa moyo japo ni vigumu kwa kozi yangu bila PC wala smartphone but naamini watu wote hawawezi kulingana kifedha... hivyo jikubali kama ulivyo na hali uliyonayo then komaa hivyo ipo siku utatoka.
 
Chuo ninachoishi kila kitu ni kujitegemea sina pesa nimebakiwa na elfu kumi natakiwa niwe na PC na Smartphone.

Home kwetu masikini.

Oooh! Mungu wangu, anyway pole kwa kua haujaikubali hali ya maisha ya kwenu ndo maana uko hapa unalalamika, mimi nilipata mkopo lakini jina lilienda chuo tofauti na nilichopangiwa na TCU(Bsc in Nursing KCMC) na hata wakati mwingine mambo ni magumu hadi nakosa pesa ya kutoa hard copy, lakini najipa moyo japo ni vigumu kwa kozi yangu bila PC wala smartphone but naamini watu wote hawawezi kulingana kifedha... hivyo jikubali kama ulivyo na hali uliyonayo then komaa hivyo ipo siku utatoka.
 
kweli kabsa, lazma ukubal hali yako y maisha
 
Yeye anaishi chuo ila hasomi, na kama anasoma basi ni vile vyuo vya kujionyesha, watu wamesoma mpaka wanamaliza hakuba cha laptop wala smartphone na wamepiga GPA za hatar sasa wewe ushindwe kwa kukosa hivyo vidubwasha.

Asante Mkuu,
 
Back
Top Bottom