Hivi ingekuwaje maisha unayoishi sasa ukakuta ni ndoto.Ile unashtuka unajikuta upo darasani,tena darasa la pili mwalimu anafundisha somo la mwandko na ww kwa aibu na uchovu umejiinamia unaangalia daftali lako la mistari midogo na mikubwa.
kaka acha tu!! Mi nshaota naokota mahela meeengi,ile naamka duh kumbe ndoto nilikasirikaje?