Asa mbona hujamuaga?
USIJIUE .. Nitafute inbox tuongee jinsi naweza kukusaidia. (Am serious)Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema
Sent using Jamii Forums mobile app
masihara yenu yanaanzaga kama hivi, kumbe mtu anakunywa vikombe uko... oohoo!Asa mbona hujamuaga?