Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
- Thread starter
-
- #21
Umesahau?
Anyway,vp lakini Bibi yako arobaini yake tayari?
Umesahau?
Anyway,vp lakini Bibi yako arobaini yake tayari?
shosti miss you
toba!...ulinisaliti nini tena Madame B nambie
kwani hujui alichokusaliti? We c ulikuwa shemeji yangu? Nadhani hapo anamaanisha kakuacha, asa hv yupo na mwingine ambaye cjatambulishwa ruttashoborwa
kwani hujui alichokusaliti? We c ulikuwa shemeji yangu? Nadhani hapo anamaanisha kakuacha, asa hv yupo na mwingine ambaye cjatambulishwa ruttashobolwa
Missng u too Best a'ngu.
Nampasha huyu Ruhazwe,anajidai kupotezea.
Vp shem wangu hajambo?
Mpe salamu zangu kabla hakujapambazuka.
kalitambulishe hilo zee uone kama shemeji Kijino hajafa na kicheko,