maisha PLUS!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maisha PLUS!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by charminglady, Sep 29, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Heheheiyaaa, maisha plus ndo hiyoo inaanza. kuna vituko, vimbwanga na vichekesho vimesheni.
  1. kuna dada mmoja kaulizwa we kabila gani akajibu ye muislam
  2. mwingine kaulizwa ana miaka mingapi akajibu 22yrs. masoud kipanya akamuuliza tena tangu lini umeambiwa una miaka 22,akasema tangu zamani
  3. mwingine kaulizwa unapenda somo gani, akajibu anapenda somo la biograph!!!!
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kumbe tu pamoja! Vituko vyote nimeviona!
  Kuna mdada amedai kamaliza form iv, kaoneshwa map ya Africa , akaulizwa hii map unaijua?
  Akajibu hajawahi kuiona tangu azaliwe!
  Inshort ni msiba!
  Btw mi sikamilishi siku bila kuangalia maisha plus!
  Labda pawe a certain day it out of program.
   
 3. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaaaaaaaaa......jamaniiiii
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,095
  Likes Received: 10,453
  Trophy Points: 280
  Inaoneshwa wapi?.....usikute ni tbccm
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kuna mwingine wa juzi aliulizwa
  National flag ina rangi ngapi?
  Akajibu 4
  Swali : zitaje
  Jibu : mi najua mbili tu.
  Swali : elezea nyeusi inawakilisha..?
  Jibu : rangi ya watanzania.
  Swali : Njano ?
  Jibu : naskiaga wanasema sijui madini ! (hakua na hakika)
  Masudi Kipanya : sio kwamba inawakilisha Yanga?
  Jibu : sasa na Mtibwa, Simba ?
  Kipanya : Usituletee mchezo sisi tumetumwa na wizara alaah!
  Jibu : ndiyo inawakilisha Yanga.
  Swali : kijani ?
  Jibu : sijui .
  Kipanya : sio inawakilisha c.c.m (huku Masoud kamtolea mimacho)
  Jibu : ndiyo.
  (Wakaishia hapo kwa cheko hawakufika hata kwenye bluu)
  ni msiba habari namna hii.
   
 6. blogger

  blogger JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 1,898
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 180
  ..teh teh
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  duh hata mie nilimwona, yan nlicheka mpaka machozi yalinitoka. afu me nlikuwa sijui kama imeanza, lakini naona bado wapo kwenye usaili. kambini bdo hawajaingia co???
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  huwa inaoneshwa tbc kuanzia saa 9.00 - 10.00 usiku Preta
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Judgement yan sijui watu ndo hawajielewi ama hawakusoma. . . inasikitisha kweli thou inachekesha pia. mwingine aliulizwa miaka yake akajibu 29, masoud akamwambia miaka yako ni imevuka vigezo vya kuwa mshiriki wa MP. lakn KP akamwambia basi ipunguze eti nae akasema haya napunguza ni 25yrs. duh !!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kila siku.....?
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  sina uhakika sana, Judgement hebu tusaidie hapa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Masoud very talented, sana sana.
   
 14. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  ukiangalia Maisha Plus utagundua kwa jinsi gani IQ, ya watz ndogo sana, weng hawawez kureasonna argumentation
   
 15. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Ni janga la kitaifa sio utani
   
 16. Root

  Root JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,197
  Likes Received: 12,910
  Trophy Points: 280
  ulikuwa mkoa gani?
   
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa!
   
 18. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Takriban mi naiona karibu kila siku, but sijaelewe muda maalumu.
  Siku nyingine saa 4 usiku, mara saa 5 , siku nyingine saa 3, na kesho yake asubuhi kama saa 4 wanafanya marudio, siku nyingine hawarudii . Ofcoz wanachanganya ufuatiliaji.
  Na alieuliza kwa sasa wako kwenye usaili ? Ni kweli ndy wako mchujoni ku'select watakao kwenda kijijini.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  umeona eh, yan mtu anadai kamaliza form 4 lakini hajawahi kuiona ramani ya africa!!!!!!
   
 20. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  asante kwa taarifa. Preta pitia hapa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...