Maisha ninayoishi ni ya ajabu kweli, ushauri wako unahitajika

Wakuu, hili jambo utakalolisoma hapa ni maisha yangu 100%.

Kuna ile kauli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, naona ni kweli 100%. Haya maisha ninayoishi sehemu kubwa ni matokea ya makuzi yangu.

Nimekulia kwa kiasi kikubwa ila sio saana kwa mjomba wangu ambae ni mchungaji mmoja mkubwa wa madhehebu ya Assemblies of God.

Pamoja na kwamba mimi siamini mungu tena ila maisha ya pale kwa mjomba yameshape kwa kiwango kikubwa maisha ninayoishi sasa, ambayo kwa ujumla siyapendi ila nimeshayazoea na nimeshindwa kuyaacha.

Sipendi kutoka nyumbani, sipendi kusocialize(kwa kiasi flani sasa najitahidi), naweza kushinda nyumbani peke yangu ndani hata siku 5 kama nina hiyo nafasi, naweza kuishi na majirani wasijue niko ndani siku 3, labda wanione natoka kwenda mtaani kununua hitaji flani ila kama kila kitu kipo ndani sitoki.

Napenda kulala, naweza kutoka kazini labda sa 10 kama nimewahi kutoka, nimifika nyumbani nafunga milango naingia room kulala hadi kesho yake au labda nihisi njaa na ndani chakula kiwe kimeisha ndio naweza kutoka. Sipendi kabisa kutoka, nikiwa na msichana ntamshindisha ndani hata wiki, wengi wanashindwa aina ya maisha yangu.

Nyumbani kwangu nina kila kitu maana nina kazi inayoniwezesha kuishi ninavyotaka, lakini cha ajabu hata sebuleni sikai, sebuleni kwangu kuna kila kitu kizuri lakini naweza kumaliza mwezi sijakaa sebuleni labda aje mgeni kunitembelea.

Hata ndugu wakinitembelea, wakikaa siku zaidi ya moja tunaweza kujumuika siku ya kwanza au ya pili tu, baada ya hapo naweza kushinda nimelala wao wako sebuleni na vyumbani kwao. Ndugu wengi wameshanizoea hvyo maana wamejaribu kushauri ila sibadiliki.

Haya maisha ya kutopenda kutoka nime adopt kwa mchungaji, alikua hataki tutoke kwenda senta, hvyo kama umemaliza shughuli zako ujisomee ukichoka kalale, tokea hapo nimekua hivyo. Ilikua ni marufuku kutoka kwenda mahala popote bila sababu ya msingi labda utumwe.

Nakumbuka hata baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu miaka kadhaa iliyopita nilikua nashinda nimelala tu, brother akaniambia nijichanganye na watu nisiwe peke yangu, hapo ndio mara yangu ya kwanza nikaanza kwenda bar na kukaa muda mrefu na kupitia hapo ndio nikakutana na mkurugenzi wa utumishi ninapofanya kazi akaniajiri, isingekua ushauri wa bro labda ningekua mtaani hadi sasa, labda..

Haya maisha ninayoishi siyapendi ila sijui kama nitabadilika maana nimekua mtu mzima sasa, miaka 30.

Hivi kuna mtu ana namna ya kuniahauri nawezaje kubadilika?
Ni hatari Sana kuishi hayo maisha especially pale inapotokea umepata msongo wa mawazo, au kupata matokeo mabaya ktk jambo flani unaweza kujiaua hivihivi
Pia unapaswa kutambua kua mafanikio yako yapo kwa mtu mwingine hivyo ili kuyafikia unahitaji kuwa na muingiliano na watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, hili jambo utakalolisoma hapa ni maisha yangu 100%.

Kuna ile kauli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, naona ni kweli 100%. Haya maisha ninayoishi sehemu kubwa ni matokea ya makuzi yangu.

Nimekulia kwa kiasi kikubwa ila sio saana kwa mjomba wangu ambae ni mchungaji mmoja mkubwa wa madhehebu ya Assemblies of God.

Pamoja na kwamba mimi siamini mungu tena ila maisha ya pale kwa mjomba yameshape kwa kiwango kikubwa maisha ninayoishi sasa, ambayo kwa ujumla siyapendi ila nimeshayazoea na nimeshindwa kuyaacha.

Sipendi kutoka nyumbani, sipendi kusocialize(kwa kiasi flani sasa najitahidi), naweza kushinda nyumbani peke yangu ndani hata siku 5 kama nina hiyo nafasi, naweza kuishi na majirani wasijue niko ndani siku 3, labda wanione natoka kwenda mtaani kununua hitaji flani ila kama kila kitu kipo ndani sitoki.

Napenda kulala, naweza kutoka kazini labda sa 10 kama nimewahi kutoka, nimifika nyumbani nafunga milango naingia room kulala hadi kesho yake au labda nihisi njaa na ndani chakula kiwe kimeisha ndio naweza kutoka. Sipendi kabisa kutoka, nikiwa na msichana ntamshindisha ndani hata wiki, wengi wanashindwa aina ya maisha yangu.

Nyumbani kwangu nina kila kitu maana nina kazi inayoniwezesha kuishi ninavyotaka, lakini cha ajabu hata sebuleni sikai, sebuleni kwangu kuna kila kitu kizuri lakini naweza kumaliza mwezi sijakaa sebuleni labda aje mgeni kunitembelea.

Hata ndugu wakinitembelea, wakikaa siku zaidi ya moja tunaweza kujumuika siku ya kwanza au ya pili tu, baada ya hapo naweza kushinda nimelala wao wako sebuleni na vyumbani kwao. Ndugu wengi wameshanizoea hvyo maana wamejaribu kushauri ila sibadiliki.

Haya maisha ya kutopenda kutoka nime adopt kwa mchungaji, alikua hataki tutoke kwenda senta, hvyo kama umemaliza shughuli zako ujisomee ukichoka kalale, tokea hapo nimekua hivyo. Ilikua ni marufuku kutoka kwenda mahala popote bila sababu ya msingi labda utumwe.

Nakumbuka hata baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu miaka kadhaa iliyopita nilikua nashinda nimelala tu, brother akaniambia nijichanganye na watu nisiwe peke yangu, hapo ndio mara yangu ya kwanza nikaanza kwenda bar na kukaa muda mrefu na kupitia hapo ndio nikakutana na mkurugenzi wa utumishi ninapofanya kazi akaniajiri, isingekua ushauri wa bro labda ningekua mtaani hadi sasa, labda..

Haya maisha ninayoishi siyapendi ila sijui kama nitabadilika maana nimekua mtu mzima sasa, miaka 30.

Hivi kuna mtu ana namna ya kuniahauri nawezaje kubadilika?
Mkuu kwa maisha hayo wewe hata ukienda kuishi jela hutapata tabu kabisa, maana ushazoea nyumbani. Lakini mi nadhani sio mbaya unaepuka vitu vingi sana, labda nikuulize ukiwa huko chumbani huwa unafanya nini au unawaza nini, maana huwezi kuwa idle hivi hivi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ni kuzaliwa na hii Kitu au makuzi, niliambiwa toka mtoto sikuwa mtu wa kujichanganya sana na wenzangu unakuta wenyewe wanacheza hapo mi nimejitenga pembeni nacheza mwenyewe. Pia malezi ya kuzuiwa kutembelea marafiki yameniathiri sana mpaka Leo ni mtu wa ndani tu mi na movie, riwaya au simu. Imepelekea kuwa na marafiki wengi wa kusalimiana kwa simu na wa kuhesabu katika maisha halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwenyewe niko hivyo naweza kushinda nyumbani bila tatizo na nikipata mgeni naona kama ananikela naomba aondoke haraka nibaki peke yangu na nikiwa kazini napenda kua peke yangu sipendi kupiga story.
Kwa kifupi maisha hayo nayafurahia sijari mambo ya watu wengine najali mambo yangu tu na nikipata tatizo nalitatua peke yangu na linaisha,sina rafiki,sina mpenzi,nikitongoza dem akiisha nipa ninachotaka hanioni tena.
Nafurahia kuangalia movies,jf,whatsapp na kwenda kupata moja ya moto moja baridi angalau mara moja kwa mwezi.

Haya ndio maisha yangu nina furaha sikasiriki hovyo maana hakuna wa kunikasilisha i don"t expect anything from anyone. by da way jf is my best friend

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha ha haasaass

Sasa inshu ya kujitengenezea kipato nje mshahara anafanyeje??

Huu usaliti utakuja kumtafuna ama umeanza.

Ametembelea viwanja vya tungi a.k.a pombe maalufu kama maji ya dhahabu, amepata kazi kupitia huko leo ametelekeza. Hili litamfuata hata ajfiche na ajifungie na kufuli kwa nje.

Cha kufanya tuuu embu apende urabu aone.
Unonekana mbinafsi na mchoyo sana...

Usikute hata demu huna!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni dalili za umasikini wa fikra na kipato

Trust me kupata kazi umeona kila kitu umemaliza ndio maana thamani ya muda kwako hamna tena.

Haya maisha kwa mwanamke ni sawa, japo na wenyewe kwa sasa wanakuja kwa kasi kubwa mno
Maisha hayo tupo wengi aise mimi nikitoka kazini nikiingia ndani ni kesho asubuhi kutoka nikishinda jpili uko ndani kabisàa sibanduki tv simu mpaka basi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kama nyumba miezi 6 watu hawanijui jina, ikabidi waulizie kwa mgeni wangu aliyekuja kunitembelea, sehemu nyingine nilikaa miez mitatu hadi maza house alipoandika mkataba ili alifaham jina langu

Ungekuwa mkatoliki ningekuelekeza kasome vitabu vya maisha ya watakatifu wakaa pweke
 
Kumbe introvert Tupo Wengi gumu! Nadhani the "goal of life is happiness" aliwahi kusema mwanafalsafa,so kama maisha Hayo yanaleta furaha! No problem, maisha hayana formula!!
 
Back
Top Bottom