Maisha ni utata

Nzona

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
4,067
Reaction score
6,309
Your browser is not able to play this audio.


Wadau, mambo vipi je ni kwema,

Natumaini nyote wazima, natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu, Mimi kijana wenu/mdogowenu/ naomba mnisaidie angalau Nyumba ya kuangalizia wakati mmiliki akiwa hayupo,au amejenga imebaki Haina mtu wa kuangalia,

NadhAni mnajua ndugu zangu kitu ambacho namaanisha, Nina familia sijui ata pa kuipeleka maana usipokuwa na Chako duniani ni kama unakuwa kama mwehu,

Nipo Musoma-mjini ndugu zangu naitaji msaada wenu tafadhali 🙏
 
Ngoja waje.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…