Maisha ni uchizi..!!

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
536
86
Juwa kwamba maisha ni uchizi.! Nina sababu kumi kudhibitisha hili_
Kwani kila siku;
1.Unachotaka hukipati(MAPENZI)
2.Unachokipata hukifurahii (NDOA)
3.Kinachofurahisha hakidumu (BOYFRIEND/GIRLFRIEND)
4.Kinachodumu kinakera (MUME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha(FEDHA)
6.Kinachodhalilisha kinapendwa (ZINAA)
7.Kinacho ogopwa hakina maandalizi(KIFO)
8.Kinacho andaliwa hakiendelei (UHAI)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi (IBADA)
10.Vinavyofuatwa havina maana(SIASA MBOVU & HUJMA).
=>JE NIKO SAHIHI?!
 
Wala hujakosea kasoro tu hatutembei uchi kwan km nikuongea peke yetu hata njian ishakuwa kawaida, maisha ni uchizi kbs.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom