Maisha ni nini?

MR BINGO

JF-Expert Member
Feb 12, 2016
1,121
2,418
kama kichwa kinavyojieleza hapo maisha ni nini? kibiologia
-kwa mwenye uelewa anaweza kunielewesha/kutuelewesha
 
kipindi cha kati ya kuzaliwa na kifo kwa kiumbe hai chochote ,hasa binadamu
 
Back
Top Bottom