Maisha ni magumu kweli?

Maisha ni magumu kweli?

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Wanajf tujadili hili,
Ukiachilia mbali mambo ya diplomasia na uhuru,hebu tujadili maisha na hari ya watu kwa ujumla hasa kipindi hiki cha kuelekea sikukuu
Kwa upande wangu naona watu wamekubaliana na hari na mazingira yaliyopo,ukienda sokoni,mnadani hata shopping malls,Mambo ni motomoto ,sisemi nikwawote,ila wastani
 
Watu wanaofaidika kwa kipindi hiki ni wale wanao zalisha bidhaa ndani na kuuza nje ya nchi.

Usitegemee uzalishe bidhaa ndani then uiuze humu humu ndani upate Faida, Utapata Ila kwa tabu Sana

Nakushauri hata Kama una shamba lako la mboga mboga anza kutafuta masomo nje, kamilisha vigezo vyao paki Katika ubora wanaoutaka kawauzie.

Ulaya wana uhitaji mkubwa Sana wa green vegetables. Nakuinsure unapiga pesa mpaka utashangaa
 
Mkuu kizzy,hebu tuambie uzoefu wako,una muda gani unajishughurisha hivyo kimataifa?
 
Maisha ni mazuri mnoo mkuu.Asubuhi napata chai matembele.Mchana napata maandazi mawili kwa chili sosi.Halafu jioni sili sana.Napata juisi ya bamia.Nina furaha mnoo.Halafu,hivi tumenunua ndege mpya?Ndege oyeeeeee!CCM oyeeee!Sikukuu oyeeeee!Maakuli oyeeeeee!
 
Noma sana!
 
Unaongea as if ni jambo simple tu.
 
maumivu yapo kwa wengi.japo wapo wachache wenye afadhali ya maisha.kama Mimi. Namshukuru mungu nina kibarua.ila Sina mke wala mtoto anayenitegemea.ninachokipata chanitosha.
Ila hali yangu mimi siwezi nikaifananisha na ya wengine.
 
Vyuma kukaza ni msemo uliobuniwa na chadema ili kuwahadaa vilaza.

Lkn awamu ya tano hela njenje
 
Maisha ni mazuri mnoo mkuu.Asubuhi napata chai matembele.Mchana napata maandazi mawili kwa chili sosi.Halafu jioni sili sana.Napata juisi ya bamia.Nina furaha mnoo.Halafu,hivi tumenunua ndege mpya?Ndege oyeeeeee!CCM oyeeee!Sikukuu oyeeeee!Maakuli oyeeeeee!
Oyeee yenyewe hoyeeee!!?
 
Vyuma kukaza ni msemo uliobuniwa na chadema ili kuwahadaa vilaza.

Lkn awamu ya tano hela njenje
Akina mama wenye ajira zenu huwa mnajisahau sana mnazani nawakulima wanapokea mishahara ila nikutonye huku kijijini kwenu hali si shwari
 
Wanajf tujadili hili,
Ukiachilia mbali mambo ya diplomasia na uhuru,hebu tujadili maisha na hari ya watu kwa ujumla hasa kipindi hiki cha kuelekea sikukuu
Kwa upande wangu naona watu wamekubaliana na hari na mazingira yaliyopo,ukienda sokoni,mnadani hata shopping malls,Mambo ni motomoto ,sisemi nikwawote,ila wastani
hari = hali
 
Mkuu kizzy,hebu tuambie uzoefu wako,una muda gani unajishughurisha hivyo kimataifa?
Mkuu

Mimi sijihusishi na hizo mambo labda ni kwa vile tayari ninajihusisha na mambo au product nyingine badala ya mbogamboga

Isipokuwa kuna mtu namfahamu vizuri tu, yeye anashamba kubwa mikoa ya Iringa na Njombe anafanya hiyo biashara

Alipoanza mm nilichukulia masiharamasihara alipokuwa ananishirikisha lakini matokeo yake nayyaona saivi, Anamaendeleo mkubwa na anapata kujuana na watu wengi na experience kubwa,

Yeye mwenyewe alionaga mtu anafanya hizi mambo kupitia social media na yy akaamua kujiingiza hukoo
 
Na yeye anauza nje mkuu maana nimependa Hii idea
 
Back
Top Bottom