Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,327
Mkuu "sisi" ambao vyuma havijakaza huwa hatupendi tabu.Nikiweka "h" kwenye oyeeee wakati wa kutamka nitachubuka koo.Kuandika oyeeee...inatosha!Oyeee yenyewe hoyeeee!!?
Mkuu "sisi" ambao vyuma havijakaza huwa hatupendi tabu.Nikiweka "h" kwenye oyeeee wakati wa kutamka nitachubuka koo.Kuandika oyeeee...inatosha!Oyeee yenyewe hoyeeee!!?
Sio kwamba nimekurekebisha ila Sikh hizi wameimodify wanasema ccm oyee! Halafu anamalizia hoye yenyewe hoyeee!?Mkuu "sisi" ambao vyuma havijakaza huwa hatupendi tabu.Nikiweka "h" kwenye oyeeee wakati wa kutamka nitachubuka koo.Kuandika oyeeee...inatosha!
Astaghifilullah! Hata kucheza nyimbo zetu huwa "tunakumbatiana" kama nguchiro wenye kifaduro.Sio kwamba nimekurekebisha ila Sikh hizi wameimodify wanasema ccm oyee! Halafu anamalizia hoye yenyewe hoyeee!?
Daaaah unaweza tusaidie japo kidogo Kwa jinsi anavyofanya hii busnes
Mimi sio chadema kabisa,ila ulichoongea hapa ni uongo kabisa..sijui mnapata faida gani kusifia hadi yasiyo sifikaVyuma kukaza ni msemo uliobuniwa na chadema ili kuwahadaa vilaza.
Lkn awamu ya tano hela njenje