1.Maisha ni funzo
2.Maisha ni mtihani
3.Maisha ni Onyo
Note: Mfumo wa maisha = Mfumo wa uumbaji wa Ardhi.
Tembea Kwa nidhamu sana katika hii Ardhi unayoikanyaga.,...kamwe usimdharau Wala kumhukumu mtu yeyote.
Tunaishi Kwa kubeti tu, hakuna aijuaye kesho yake.