Maisha ni kama Ushuzi

Maisha ni kama Ushuzi

Sokomoko

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Posts
1,915
Reaction score
130
Maisha ni kama ushuzi, ukiyabana utafanikiwa na ukiyaachia yatakunukia.Tafadhali naomba ubane ushuzi wako ili ufanikiwe.
 
Ukibana ushuzi utapanda kwenda kichwani kupitia...uti wa mgongo..na hapo ndipo..unapo anza kuwa na nusty ideal.

Good day
 
Usithubutu kubana ushuzi utachanika utumbo matokeo yake ni kupoteza maisha...
 
Ukibana ushuzi mwishowe utaharisha.
 
Usibane.utachana kile kinguo kidogo kinachotangulia ndani.
 
Jwi!jwi!jwi! Ukibana unaweza kupumlia mdomoni.
 
Back
Top Bottom