Maisha ndivyo yalivo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha ndivyo yalivo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kakuruvi, Mar 23, 2011.

 1. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Maisha ya staili hii yameshamiri sana hasa hapa Tanzania


  Most 'First Class' students get technical seats, some become Doctors and some Engineers.
  [​IMG][​IMG]


  * The 'Second Class' pass, and then pass MBA, become Administrators and control the 'First Class'.
  [​IMG]


  * The 'Third Class' pass, enter politics and become Ministers and control both.
  [​IMG][​IMG]


  * Last, but not the least, The 'Failures' join the underworld and control all the above.
  [​IMG][​IMG][​IMG]
   
 2. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Madaktari, Wahandisi, Wahasibu ni miongoni mwa watu wanaosoma sana lakini kiinua mgongo chao chaweza kisimfikie Mbunge wa muhula mmoja tu wa uchaguzi, kweli si kweli? kumbe ndio mana elimu si kipaumbele, aaaah kumbeee!

   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Dah! Kuna kaukweli hapo
   
 4. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Success in school is a poor measure of success in life.
   
 5. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ni kweli ila tukiliendekeza hili katika serikali umuhimu wa elimu utapungua siku hadi siku kwani wengi watapenda njia za mkato kufanikisha maisha, hata ikiwezekana kwa gharama kubwa ili tu ku-win maisha.
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  mhhh sikubalian na ww sana manake hao hao madoka na mainjinia wapo kwenye siasa na ni mawaziri na wabunge inategemea unamaanisha nn hasa.
   
 7. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Sawa ila nachosema ni kwamba, wasomi wengi wanafanya kazi zenye utaalam mkubwa na wengi wao vipato vyao ni vidogo kwani wanalipwa marupurupu kidogo kulinganisha na kazi zao, ila watu wengine si wasomi kupindukia fani zao ni kwenye shughuli za kiutawala ndio wanaopanga hao wataalamu walipwe nini, na mtaalamu akianzisha kitu binafsi kinachofanana na utaalamu wake ataandamwa huyo mpaka basi na kuonekana ameiba, mfano Daktari akiwa na duka la dawa.
   
 8. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hata mimi nimeona...
   
 9. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 645
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Pesa za wenye taaluma ni chache na mbinde kuzipata, lakina wenye taaluma ndogo zao ni chap chap.
   
Loading...