wadau,
Ni miaka mingi sasa imepita toka yaliyokuwa maandamano ya amani ya kumtaka rais assadi kujiuzulu yalipogeuka kuwa vita isiyoisha.
Kila Siku tukitazama TV tunaona kama sio madege ya serikali ya Syria basi ni madege ya urusi,Israel na hatsa uturuki yakiporomosha makombora .
Sasa nauuliza hivi huko Syria kweli kuna shughuri zozote za kimaisha zinaendelea kama vile kuoa,kulima,biashara,ujenzi,
matamasha ya muziki nk.