Huwezi linganisha na maisha ya wale ndugu zao wa Korea Kusini. Hapa inadhihirisha kwamba ukomunisti ni kama utumwa fulani hivi + umasikini huku watawala wakijifanya mungu watu.
Kumbuka kuwa hawa wamewekewa vikwazo kwa miaka mingi lakini sio ombaomba kama sisi ambao tuna kila kitu. Hawa hata rasilimali zipo limited sana.
Lakini hizi picha ni copy and paste, zimepigwa na mahasimu wao kudhihirisha wanayoyasema. Cha ajabu hakuna homelessness kama ilivyo kwa hao maadui wao wakubwa waliowawekea vikwazo.