makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,570
- 108,900
Aliyepiga hizi picha alifaulu kivipi kuzitoa nje maana kule unakaguliwa na uhamiaji mpaka kwenye simu, wanaangalia na kufuta baadhi ya picha.
Vipi mzee kama nitazifotoa na kuziback up google photos kwa mfano! Kisha nikaifuta, ama huko nako apps kama hizo zimepigwa ban!?
You tube kumejaa Video ambazo watu waliofanikiwa kwenda huko walijaribu kuleta uhalisia wa maisha ya huko... unaweza ukaenda kuzichek then ukaamua mwenyewe kama ni kweli ama sio kweli
moja wapo ni ni hii link hapa chini
Mbona pazuri ukilinganisha na Afrika huku. Halafu huyo jamaa kwenye video, kama yeye kidume arudi huko huko.
ukitembelea huko na ukafanikiwa kurekodi ukitoka ukairusha video basi ujue ndo umejipa BAN ya maisha maana ukikanyaga tena kule watakugeuza ndafu.
Kiduku alimuua mjomba wake ambae alikua mmoja wa ma generali wa jeshi seuse wewe usie na undugu naeukitembelea huko na ukafanikiwa kurekodi ukitoka ukairusha video basi ujue ndo umejipa BAN ya maisha maana ukikanyaga tena kule watakugeuza ndafu.
Hii Picha ipo Clear Sana!!!!!
D
View attachment 1350961
Maisha ya vijijini
Bora yao hata wana kumbukwa na wanathaminiwa hata kujengewa nyumba ukiambiwa maana ya uzalendo unaikamata mapemaView attachment 1350942
Makazi ya watu wa hali ya chini kabla hawajahamishwa na serikali.
Wewe umezipatajeKiduku hapendi hizi taarifa zitoke nje ya nchi. Huruhusiwi kupiga picha.
Hii kitu ilikuwa huku kwetu enzi za Nyerere mabalozi wa Nyumba kumikumi walikuwa wanaheshimika kweli huwezi kuingia kwenye boma la mtu bila kutoa Taarifa siku hizi hadi waburundi wanajiita wahaWanajeshi wanajua kila kitu kinachohusu usalama wa nchi hata idadi ya wageni walioingia.
Kule dunia nyingine halafu nasikia kuna fursa balaa wanaziwahi wakenya kama kawaida yao kuingia huko ndio mbinde
Na balozi anamjua babu yako, warundi walijulikana wote maana walikuja kukata mkonge. Na kambi waliyokuwa wameajiriwa ilijulikana na ma supervisor wao.Hii kitu ilikuwa huku kwetu enzi za Nyerere mabalozi wa Nyumba kumikumi walikuwa wanaheshimika kweli huwezi kuingia kwenye boma la mtu bila kutoa Taarifa siku hizi hadi waburundi wanajiita waha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule ni nusu ya USAKule dunia nyingine halafu nasikia kuna fursa balaa wanaziwahi wakenya kama kawaida yao kuingia huko ndio mbinde
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule ni nusu ya USA