Maisha nchini Namibia

Maisha nchini Namibia

sisi wajerumani walitutawala kwa muda mfupi sana baada ya wao kushindwa na waingereza vita kuu ya pili ya dunia wakanyang'anywa koloni na waingereza.
Namibia Wajerumani walikaa miaka mingi zaidi.
I wish tungetawaliwa na wajerumani tungekuwa wachapakazi sana
Acheni kuwa na mawazo mgando, binafsi kama tungeweza kurudisha nyuma siku hata sitamani hao wazungu na waarabu warudi Africa, waafrika tulikuwa na viwanda vyetu na tuliishi vizuri sema walivyokuja wakaaribu kila kitu chetu, uchumi uripolomoka, mila na desturi zetu zilipotea. Now hatuna chochote cha maana zaidi ya kuendelea kuwategemea hao watu weupe tena kwa masharti kibao wakati asilimia kubwa ya utajiri wao umetokana na waafrika
 
Mtanzania akisafiri nje akirudi Ni kuonyesha tu album ya picha alizopiga akiwa nje kwani uongo?
Hicho ndicho anachoanza kusimulia.Uliza watanzania hata wakisafiri kwenda nchi jirani hapo Rwanda tu wakirudi uwasikie watakachosems.Atakuonyesha picha alizopiga na Cha pili atakwambia aisee Rwanda kusafi ,kumepangika.Full stop.Hawezi sema Kuna fursa gani.Hata ukimuuliza Hilo swali kuwa Rwanda Kuna fursa gani? jibu unakuta hana anajiuma Uma mdomo nabanatoa tu mimacho Kama mjusi aliyefiwa na mkwewe.
Kuna rafiki yangu mmoja tulimaliza secondari pamoja, akapata nafasi ya kuenda kusoma uingeleza (kwao walikuwa na uwezo) baada ya miaka minne akarudi bongo. Nilibahatika kukutana naye. Story zake sasa mara bongo kuna vumbi sana kule haukuti vumbi, utasikia internet ya bongo hovyo sana kule unapakua muvi within seconds, mara kule unakaa tu chumbani unaagiza chskula unaletewa huku mpaka twende nje kutafuta its boring. Dah nimesoma coment yako niksmkumbuka msela wangu huyu. Sasa hivi amepata kazi huko huko na ana familia na mzungu. Anyway wabongo tunajisahau.
 
Acheni kuwa na mawazo mgando, binafsi kama tungeweza kurudisha nyuma siku hata sitamani hao wazungu na waarabu warudi Africa, waafrika tulikuwa na viwanda vyetu na tuliishi vizuri sema walivyokuja wakaaribu kila kitu chetu, uchumi uripolomoka, mila na desturi zetu zilipotea. Now hatuna chochote cha maana zaidi ya kuendelea kuwategemea hao watu weupe tena kwa masharti kibao wakati asilimia kubwa ya utajiri wao umetokana na waafrika
Kuna sehemu na jamii ambazo wazungu na waarabu hawakufika kabisa huko kwa wa adzabe, so tell me viwanda vyao vinaendeleaje?
 
Halafu ndio maana maendeleo yalichelewa kuja. Wakoloni wawili kwasababu Tanganyika ndio lilikuwa koloni kubwa la Mjerumani kwahiyo angeendelea kututawala angeiendeleza kama wazungu walivyoiendeleza south Africa na Kenya na Zimbabwe. Hizi ziliitwa settler economy. Hizi nchi mzungu aliziendeleza kwa kuamini hataondoka. Alijenga mashule , vyuo na miundombinu mingi. Ila Tanganyika mpaka tunapata Uhuru hatuwa hata na university moja ndio maana kipindi tunapata Uhuru tulikuwa na wasomi wa degree watu 9 akiepo Nyerere alisomea Makerere university Uganda.
sisi wajerumani walitutawala kwa muda mfupi sana baada ya wao kushindwa na waingereza vita kuu ya pili ya dunia wakanyang'anywa koloni na waingereza.
Namibia Wajerumani walikaa miaka mingi zaidi.
I wish tungetawaliwa na wajerumani tungekuwa wachapakazi sana
 
Ngoja tuigeuze shilingi kwa hoja yako, huoni kuwa hawana fursa nyumbani ndiyo maana wanazikimbia na sababu ya kutokuwa na fursa ni mfumo mbovu wa nchi zao?
Nikupe mfano mdogo tu . Tanzania tuna madaktari kibao waliohitimu udaktari kazi hawana kibao.Hawa tungeweza Ku export kama kenya linavyofanya ,tuna walimu kibao wenye digrii hawana kazi hao tungeweza Ku export Hawa utasema madaktari na hawa walimu wasio na kazi hapa nchini utasema mfumo mzuri na fursa zipo kwao watakueleewa.Kenya kuna excess trained labour ambayo hawawezi Ku i absorb ndani ya nchi ndio Wana export.Tatizo la Trained excess labour force hata sisi tunalo ilw tumekaa tu hatutaki kuhangaika Ku export kama Nigeria na Kenya wafanyavyo ndio maana Kenya na Nigeria kupata passport ni simple tofauti na kwetu.Kule ni strategy ya serikali Ku export labour.Sisi hatuna hicho kitu kutwa tunawaza sana sana Ku export chai,kahawa,korosho na pamba!!!!!
 
sisi wajerumani walitutawala kwa muda mfupi sana baada ya wao kushindwa na waingereza vita kuu ya pili ya dunia wakanyang'anywa koloni na waingereza.
Namibia Wajerumani walikaa miaka mingi zaidi.
I wish tungetawaliwa na wajerumani tungekuwa wachapakazi sana
Wajerumani waligungua wabongo wana tabia ya indolence
 
Kuna sehemu na jamii ambazo wazungu na waarabu hawakufika kabisa huko kwa wa adzabe, so tell me viwanda vyao vinaendeleaje?
Waadzabe ni jamii ya wafugaji, jamii za ivyo sio wazalishaji wao kazi yao ni kuhamahama kutafuta malisho ila kuna makabili ambayo yalikuwa ni wazalishaji kama wahunzi
 
Kuna sehemu na jamii ambazo wazungu na waarabu hawakufika kabisa huko kwa wa adzabe, so tell me viwanda vyao vinaendeleaje?
Kikubwa ni kwamba adui mkubwa wa waafrika ni sisi waafrika wenyewe, tumejawa na ubinafsi, majungu na kujipendekeza ndio maana tunashindwa kuwa na maendeleo ya maana zaidi ya kujaza data za kutengenezwa kuoneshwa kuwa tunamaendeleo. Kama tukifanya utafiti wa hali ya watu kuwa na furaha na amani kipindi cha kabla ya ukoloni na maisha baada ya ukoloni na maisha baada ya uhuru nina uhakika maisha kabla ya ukoloni yalikuwa ni the best
 
Nikupe mfano mdogo tu . Tanzania tuna madaktari kibao waliohitimu udaktari kazi hawana kibao.Hawa tungeweza Ku export kama kenya linavyofanya ,tuna walimu kibao wenye digrii hawana kazi hao tungeweza Ku export Hawa utasema madaktari na hawa walimu wasio na kazi hapa nchini utasema mfumo mzuri na fursa zipo kwao watakueleewa.
Tanzania haijakataza watu kwenda nje kutafuta maisha, ni kwamba tuu Tanzania bado inakalika na fursa za maisha bado zipo ndiyo maana unaona watu bado wakibanana. Hiyo Kenya unayosema ina export madaktari, mbona inaleta madaktari kutoka Cuba? Huoni kuna tatizo hapo?
Kenya kuna excess trained labour ambayo hawawezi Ku i absorb ndani ya nchi ndio Wana export.Tatizo la Trained excess labour force hata sisi tunalo ilw tumekaa tu hatutaki kuhangaika Ku export kama Nigeria na Kenya wafanyavyo ndio maana Kenya na Nigeria kupata passport ni simple tofauti na kwetu.Kule ni strategy ya serikali Ku export labour.Sisi hatuna hicho kitu kutwa tunawaza sana sana Ku export chai,kahawa,korosho na pamba!!!!!
Tangunini ku export labor ni kitu cha kujivunia? Huoni kuwa hiyo ni brain drain wakati ku export chai, kahawa,korosho na pamba kama tunavyofanya Tanzania ni jambo la akili?
 
Acheni kuwa na mawazo mgando, binafsi kama tungeweza kurudisha nyuma siku hata sitamani hao wazungu na waarabu warudi Africa, waafrika tulikuwa na viwanda vyetu na tuliishi vizuri sema walivyokuja wakaaribu kila kitu chetu, uchumi uripolomoka, mila na desturi zetu zilipotea. Now hatuna chochote cha maana zaidi ya kuendelea kuwategemea hao watu weupe tena kwa masharti kibao wakati asilimia kubwa ya utajiri wao umetokana na waafrika
Kwani tulitawaliwa peke yetu? wenzetu wamepigaje hatua wakati nao walitawaliwa?
 
Bagamoyo ingekua Walvis bay ya kwetu hapa,sema ccm inatukwamisha

Walvis Bay ilitangazwa kuwa manispaa mwaka 1934.

Ni kama vile Tanga au Bagamoyo zingekuwa manispaa kitambo, endapo wajerumani au waingereza wangeendelea kuishi maeneo hayo na kujijenga.
 
Tanzania haijakataza watu kwenda nje kutafuta maisha, ni kwamba tuu Tanzania bado inakalika na fursa za maisha bado zipo ndiyo maana unaona watu bado wakibanana. Hiyo Kenya unayosema ina export madaktari, mbona inaleta madaktari kutoka Cuba? Huoni kuna tatizo hapo?

Tangunini ku export labor ni kitu cha kujivunia? Huoni kuwa hiyo ni brain drain wakati ku export chai, kahawa,korosho na pamba kama tunavyofanya Tanzania ni jambo la akili?
Mkuu kuxport na kuimport kitu kile kile ni swala tu la bei.Mfano Tanzania tuna export mchele na tuna import mchele!!!!Taifa Linauza nje kwa bei kubwa una import mwingine Kwa bei ndogo kufidia Pengo la ule ulio export.ukipiga Hesabu unaona umetengeneza faida.Kwa hiyo usishangae nchi Ku export madaktari na Ku import madaktari toka nchi zingine.Swali lako Ku export labour ni brain drain? Jibu rahisi tu kama hao madaktari wasio na kazi ukiwaacha hivyo si unaozesha tu akili zao na ujuzji wao kwa kuwaacha Bila Ku practice .Hawaingizi pesa na akili zao zinaoza sababu hakuna wanachofanyai.Si Heri kuwa export wakaingize pesa na brain zao zisioze kwa kukaa bure.Kunexport ni kuwasaidia elimu zao zisioze na wapate pesa
 
Si Heri kuwa export wakaingize pesa na brain zao zisioze kwa kukaa bure.Kunexport ni kuwasaidia elimu zao zisioze na wapate pesa
Kama huoni tatizo la brain drain basi tuna safari ndefu.
 
Kama huoni tatizo la brain drain basi tuna safari ndefu.
Brain drain wewe ndio hujui . Brain drain ni kama una experts unaowategemea na unaowatumia wakaporwa na nchi nyingine hivyo kukufanya wewe uwe na upungufu wa experts ambao ulikuwa unawategemea wakikufanyia kazi.Daktari mzururaji asiye na ajira serikal inamtegemea kwa lipi .Haijamwajiri haimlipi chochote .Huyo akichukuliwa nje huwezi ita brain drain.Si unao kibao huko kwenye ajira yako wenye ma brain ndio maana hutaki kuajiri hizo brain zingine? .You still have brains in your office.
 
Hujui maana ya brain drain.
 
Kwani tulitawaliwa peke yetu? wenzetu wamepigaje hatua wakati nao walitawaliwa?
Baada ya uhuru walikuwa na sera na mipango mizuri, na viongozi wao hawakuwa wabinafsi. Kipindi kifupi baada ya uhuru uchumi wa nchi ulikuwa umeshikwa na serikali ila now fedha nyingi zipo kwa wafanyabiashara ambao ni wachache kwa namba ambao wengi wao ni wahindi na waarabu
 
Kuna mzee mmoja alikuwa ni classmate wa mzee wangu sema yy alikuja kuwa afisa wa magereza, nakumbuka alipata post ya serikali ya kwenda Namibia tangu 1994, hata hana mpango wa kurudi bongo uwa anakuja likizo tuu. Hope atakuja kustaafia huko
 
Back
Top Bottom