madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 701
Utakutana tu usjaliSijawai kutana na single daddy kwa kweli...

Utakutana tu usjaliSijawai kutana na single daddy kwa kweli...

Hutaki kusaidiwa. Women women women mnanishida tabia kwa kweliusidate ma single daddy mwaya,wanaonaga kila kitu wanaweza,ukiingia jikoni yupo,ukiwaogesha watoto yupo,very intimidating
Ni wanawake wachache sana wanaopenda watoto wa mwanamke mwingine. katika wanawake 200 usipate hata moja.Punguza wivu kidogo basi,hahahaaa. Ukweli ni chqngamoto sana ila dawa kubwa ni kuwapenda hao watoto na kudharau changamoto unazozipata kutoka kwa mama wa watoto pengine na yeye anatamani kurudi hapo hivyo anataka kukuharibia.
hahaaaaRafiki,
Hapa umeongea kama nani sasa; mama watoto ama girlfriend wa single daddy?
hili huwa nawaambia watu kila nyakati napozungumza nao...UMESEMA KWELI MKUUMkuu ukishafika 35+ kama uko single, nafasi ya kukutana na aliye acha mke au kufiwa na kuachwa na watoto ni kubwa. Ninajiandaa.
hahaaa naona amenyanyua mguu ili upepo upate kujinafasi.
Utakutana tu usjali![]()
Muda wote huo Hii mbinu ya LUKU na mimi ngoja nianze kuitumia.Amekwenda kununua LUKU
Una moyo,,hongera!!Single parents wa kuoa/kuolewa nae.
1.Baba/mama wa mtoto/watoto awe amefariki.
2.Baba wa mtoto aliikataa mimba na kutokemea kusikojulikana yaani hana habari na mama wala mtoto.
Ukipata wa hivyo na kumchukulia mtoto/watoto ni kama wako mwenyewe hapo utafurahia Maisha na kujiona hakuna mwenye Babati duniani kukuzidi wewe.
Mimi nimempata namba mbili yaani napendwa mpaka naogopa.
Mke wangu alikutana jamaa chuo huko yeye akiwa mwaka wa Pili na jamaa mwaka wa tatu wakiwa vyuo viwili tofauti,mwanamke Morogoro na mwanaume Dar. Jamaa akalamghai kwamba anataka kumuoa na kudate siku moja tu na mimba akanasa. Jamaa kupewa taarifa Nina mimba yako akaikataa na kumblock demu katika njia zote za mawasiliano.
Chuo alichokuwa anasoma demu sheria ni Kali yaani ukipata mimba unafukuzwa chuo(MUM) na pia ametoka familia ya dini sana kiasi kwamba hakuweza kuwaambia nyumbani kwamba amepata mimba isiyokuwa na baba. Ikabidi aendelee na chuo huku akiificha mimba hapo chuoni na nyumbani kwao mpaka alipojifungua na baada ya wiki moja akampeleka mtoto kwenye kituo cha kulelea watoto yatima.
Nimekutana nae Mimi ananipa hiyo story hata kwao hawajui kama ana mtoto yaani yupo frustrated, nikapeleka posa kwao na kumuoa na miezi kumi baada ya kumuoa tukaenda kumkomboa huyo mtoto akiwa na miaka mitatu kamili. Kitoto cha kike kirembo.
Wanahitaji vibokoUna moyo,,hongera!!
Namjua mtu mimba ilikataliwa ila mwanaume kamfata mtoto baada ya miaka 9,na anajipigia kama kawaida...!!
Una moyo,,hongera!!
Namjua mtu mimba ilikataliwa ila mwanaume kamfata mtoto baada ya miaka 9,na anajipigia kama kawaida...!!
Kazi ipo,ila mimi niliipata fresh kutoka kwa Baby Mama wake,anapiga simu kuuliza hali ya mtoto saa6 usiku,eti enhe mtoto vipi anaendeleaje? ana kula vizuri? huyo sijui unamuitaje mpe salam asinitesee mwanangu ajue mie na wewe hatuja achana ila tume tengana,halafu kipindi hicho ndio kwanza nimeolewa nikasema moyoni nikisema niachwe ni aibu eti kosa mtoto wa mke mwenzie huku mume nampenda na kile kitoto ki malaika just 2months ila nilikubali nipoona hapa basi nikaongea ila sasa mtoto nimkubwa anaingia 18yrs this yeah mwenyezi mungu anikuzie..Kuolewa au kudate single daddy kuna vihunzi vya kupitia. Mama watoto atakuona wewe ni kizingiti cha furaha vya watoto wake.
Wapo wengine wanaunda urafiki na mama watoto. Hapa mtakuwa na yapi ya kuongea zaidi ya kumwongelea mwanaume?
Bado ule u malaika wa watoto, wakifika kwa mama yao wanzmhaduthia kila ulichowafanyia. Sasa hapo aambiwe aunt Sky anapiga chapati tamu mama tupeleke Jumamosi.
Wengive mali handle vipi date/ ndoa na single daddy?
Hongera sana.Kazi ipo,ila mimi niliipata fresh kutoka kwa Baby Mama wake,anapiga simu kuuliza hali ya mtoto saa6 usiku,eti enhe mtoto vipi anaendeleaje? ana kula vizuri? huyo sijui unamuitaje mpe salam asinitesee mwanangu ajue mie na wewe hatuja achana ila tume tengana,halafu kipindi hicho ndio kwanza nimeolewa nikasema moyoni nikisema niachwe ni aibu eti kosa mtoto wa mke mwenzie huku mume nampenda na kile kitoto ki malaika just 2months ila nilikubali nipoona hapa basi nikaongea ila sasa mtoto nimkubwa anaingia 18yrs this yeah mwenyezi mungu anikuzie..
Ahsante,ila inataka subra hekima,nilikua nalia najiuliza Dhambi yangu nini lol..Hongera sana.
Binamu yangu aliachana na mkewe, alipopata girl friend baby mother anampigia simu kumwambia watoto wanaumwa. Akiwa njia ni kwenda kuona watoto baby mother anampigia girlfriend na kumwambia 'nikimhitaji ninamuita tu si unaona'. Mwisho baby mother alirudi kwenye ndoa yake.
Kujuta mtoto tuichukulie kuwa ni baraka, cha muhimu wawe wameachana kweli.
Ndio hiyo hiyoHiyo ID ni Chumchang Changchum ?! Nimesoma vizuri?