nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,815
- 4,791
best lugha yako ngumu mno....ila kama nimekuelewa.....tatizo wanawake mnakubali kuachika sawa.....ila msiwasumbue watoto kwa maswali ya; huko mmekula nini? nani kapika? alilala na baba yenu......then mnaanza kuwafundisha......mkienda msimsalimie,,, wala msile chakula chake labda kama baba enu ndo kapika.......msipokee zawadi mziache huko huko mkija nazo nazichoma......ya nini yote haya....vita ni yako baba yao ......kwann mnawapandikiza watoto chuki.....mshaanchana kubali matokeo maisha yasonge,,,,,utakonda bureeee na wivu hasi.....