Maisha na single daddy

Maisha na single daddy

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,349
Kuolewa au kudate single daddy kuna vihunzi vya kupitia. Mama watoto atakuona wewe ni kizingiti cha furaha vya watoto wake.

Wapo wengine wanaunda urafiki na mama watoto. Hapa mtakuwa na yapi ya kuongea zaidi ya kumwongelea mwanaume?

Bado ule u malaika wa watoto, wakifika kwa mama yao wanzmhaduthia kila ulichowafanyia. Sasa hapo aambiwe aunt Sky anapiga chapati tamu mama tupeleke Jumamosi.

Wengive mali handle vipi date/ ndoa na single daddy?
 
Kweli TZ kuna zaidi ya makabila 120 na hii lugha uliyotumia itakuwa lile kabila la zaidi...
 
Kuolewa au kudate single daddy kuna vihunzi vya kupitia. Mama watoto atakuona wewe ni kizingiti cha furaha vya watoto wake.

Wapo wengine wanaunda urafiki na mama watoto. Hapa mtakuwa na yapi ya kuongea zaidi ya kumwongelea mwanaume?

Bado ule u malaika wa watoto, wakifika kwa mama yao wanzmhaduthia kila ulichowafanyia. Sasa hapo aambiwe aunt Sky anapiga chapati tamu mama tupeleke Jumamosi.

Wengive mali handle vipi date/ ndoa na single daddy?

Rafiki,
Hapa umeongea kama nani sasa; mama watoto ama girlfriend wa single daddy?
 
Kuolewa au kudate single daddy kuna vihunzi vya kupitia. Mama watoto atakuona wewe ni kizingiti cha furaha vya watoto wake.

Wapo wengine wanaunda urafiki na mama watoto. Hapa mtakuwa na yapi ya kuongea zaidi ya kumwongelea mwanaume?

Bado ule u malaika wa watoto, wakifika kwa mama yao wanzmhaduthia kila ulichowafanyia. Sasa hapo aambiwe aunt Sky anapiga chapati tamu mama tupeleke Jumamosi.

Wengive mali handle vipi date/ ndoa na single daddy?
Mara nyingi zinakuwaga za kutoana ham tu. Mawazo yangu. Au Mara nyingi ni kwa sababu mmoja anataka matunzo kutoka kwa mwenzie. ILA ni kawaida na kama Mkivumiliana Watoto wakishakua mnastablize
 
Mkuu wengine wanakuwa wameachana kwa yao miaka na miaka lakini wakisikia baby father ana date kasheshe linaanzia hapo.
 
Mke/girl friend wa single daddy, ninaongelea vihunzi tunavyopitia kutoka kwa manacwa watoto

Oooh kutoka kwa mama watoto.

So, unataka kujadili from your experience ama unatoa nadharia au unaulizia kabla hujaingia?
 
26904039_2252249954800572_8528935633330510939_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom